Recent content by Supervision

  1. S

    JamiiForums Tanzania Lissu tambua unaishi katika Taifa ambalo wengi wana mitazamo ya aina hii

    Namaanisha kwamba lisu hana busara
  2. S

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa ampongeza Rais Dr. John Magufuli

    Jamani hapo ndipo naona Lowassa ni mwanasiasa aliyekomaa. Sasa Lissu anaponda kila kitu lakini Lowassa pamoja na fitina zilizotokea anamkubali Magufuli. Kipindi cha kampeni sikuwahi kuona Lowassa anamponda Magufuli wala sijawahi kuona Magufuli anamponda Lowassa. Lakini lissu yeye ni kuponda...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa ampongeza Rais Dr. John Magufuli

    Waziri Mkuu wa awamu ya 4 Ampongeza Dr. John Magufuli.<br />Aliyekuwa Mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Mh. Edward Lowassa ampongeza Rais John Pombe Magufuli kwa hatua aliyoichukuwa ya kusimamia rasilimali za nchi kikamilifu huku akidai kuwa tiba ya matatizo yote hayo ni...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Lissu tambua unaishi katika Taifa ambalo wengi wana mitazamo ya aina hii

    Kumbuka alifukuzwa hata na familia ya Nyerere Butiama. Huyu mtu hafai kabisa hana busara, mropokaji halafu nashangaa watu kumwelewa sana Lissu, kwa lipi? Kama alimtukana Nyerere siwezi kushangaa kumtukana na kumdharau Magufuli. Mwanzo watu walijua Lissu ni kichwa lakini sasa anaonekana ni...
  5. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baba Mweusi mama Mweupe..Mtoto atakuwaje?

    Shombeshombe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  6. S

    JamiiForums Tanzania IKULU: Rais Magufuli apokea taarifa ya ripoti ya Pili ya Mchanga. Waliosaini Mikataba Wakaangwa

    Mgonjwa wa uchama wewe,utapotea vibaya
  7. S

    JamiiForums Tanzania Magufuli sio kiongozi, ni mwanaharakati tu kama wengine

    Ni kawaida ya watanzania kuponda kiongozi aliyopo madarakani na kumkumbuka akiondoka nakumbuka mwinyi mlimsema vibaya kweli
  8. S

    JamiiForums Tanzania Magufuli sio kiongozi, ni mwanaharakati tu kama wengine

    Wewe mbona mlalamishi
  9. S

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi huyu msajili amepona??

    Sasa kwa kipindi chote toka 1998, ndiyo wamesajili hapo juzijuzi tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  10. S

    JamiiForums Tanzania IKULU: Rais Magufuli apokea taarifa ya ripoti ya Pili ya Mchanga. Waliosaini Mikataba Wakaangwa

    Tuache kurumbana kama brea kampuni haipo yanini tuanze kurumbana tuache kushadadia vitu kienyeji Kuna watu ni kushadadia tu.bia hata kufuatilia mambo
  11. S

    JamiiForums Tanzania Lissu: Si mara ya kwanza tunaahidiwa kuwekewa mikataba wazi. Kumuunga mkono Rais si lazima

    Hilo lilipendekezwa kabla ya kauli ya lisu na lilishasemwa
  12. S

    JamiiForums Tanzania Lissu: Si mara ya kwanza tunaahidiwa kuwekewa mikataba wazi. Kumuunga mkono Rais si lazima

    HII KITU NI SAWA KWELI,hoja sana hii! Nakusalimu Wakili Msomi mwenzangu na Rais wangu wa Mawakili Tanganyika na Mbunge wa nchini mwangu, Tundu Lissu. Nimesoma kwa hatua, undani, umakini na kwa uelewa mkubwa hoja yako uliyoiweka hapa kuhusu masuala ya madini na kile ambacho Rais Magufuli...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini suala la makinikia linawauma CHADEMA kuliko ACACIA wenyewe?

    Tatizo watz wanaenda kishabiki,sasa kama brela ndiyo wasajili na wanakwambia hakuna hii kampuni unataka nani anayesajili mwingine athibitishe kasajiliwa,watu whawajielewi eti yanatetea wezi
  14. S

    JamiiForums Tanzania Lissu: Si mara ya kwanza tunaahidiwa kuwekewa mikataba wazi. Kumuunga mkono Rais si lazima

    Lisu bana kuna wakati unatakiwa kuwa positive siyo muda wote siasa za vyama,tuambie adui huyu tunamkabili vipi. Maana kama mimi nilikuwa nakuelewa sana Lisu ila sasa sikuelewi hebu badilika.Suala lililopigiwa kelele raisi anasema haya twende wewe unapiga mawe Hebu kuwa positive tufocus jinsi...
Back
Top Bottom