Status 1 ikiwa ndefu hawasomagi, ila mtu huyo huyo atasoma fupi fupi mia!:
Mnisamehe kama ntakuwa mkali kidogo, ni hivi, kama kilicho ndani ya nyumba thamani yake haifiki laki, nawe una milango miwili, huwezi enda nunua kufuli mbili za laki laki. Kimantiki, gharama ya ulinzi (laki mbili za...