Recent content by SuperImpressor

  1. SuperImpressor

    Hivi unawezaje kuishi nje ya Dar es Salaam

    Hii nayo ni siredi au? Sent from my cupboard using mug
  2. SuperImpressor

    SPEEDAF Carrier na uhuni wenu wa kitoto mnaotufanyia

    Mimi toka mwaka jana sina hamu ya kuagiza
  3. SuperImpressor

    Msaada: Nyumba kuwa na matumizi makubwa ya umeme!!!

    Kwa matumizi hayo usilalamike mkuu. Kuna jamaa ana freezer mpya ya Boss lita 150 imeandikwa 98watts lakini masaa 24 inatwanga unit 2na vipoint sembuse hivyo vifaa vyako mkuu. Ridhika mkuu au tafuta bidhaa za energy saver (siyo kampuni ila ni power rating yake ya ulaji umeme) Sent from my...
  4. SuperImpressor

    Nini maana ya Ashakum si Matusi?

    Hii siledi ya zamani lakini nimecheka kidogo😂😂😂😂 Sent from my cupboard using mug
  5. SuperImpressor

    SPEEDAF Carrier na uhuni wenu wa kitoto mnaotufanyia

    Shida nyingine ilyopo ni coverage yao, utalazimika kusafiri ili kuwaendea na kitambulisho chako. Kobe akiinama anatunga sheria. Wakati mwingine huwa naona huruma labda bado wanachekecha akili jinsi ya kuendesha biashara yao. Huenda pia hawakufanya tathmini kabla ya kuchukua mkopo. Sent from my...
  6. SuperImpressor

    SPEEDAF Carrier na uhuni wenu wa kitoto mnaotufanyia

    Hata mimi kuna siku niliona hicho kitu nikajisemea moyoni kwamba mbona ni rahisi sana kuibiwa kama mtu akijua kuwa una mzigo huko? Sent from my cupboard using mug
  7. SuperImpressor

    SPEEDAF Carrier na uhuni wenu wa kitoto mnaotufanyia

    Kuna tofauti kati ya kusaini kwamba umepokea mzigo na kuconfirm kwamba umepokea. Kusaini hakuhitaji logins ila kuconfirm lazima account yako ihusike kupitia wewe.
  8. SuperImpressor

    HoloLens 2: Teknolojia ya Kufanya Kazi na Ana kwa Ana na Mtu Asiyeonekana

    Usisahihishe, maana Hololens ilikuwa ikitumika kwa kuivaa miwani maalum lakini Hologram hii huvai miwani. Sent from my cupboard using mug
  9. SuperImpressor

    HoloLens 2: Teknolojia ya Kufanya Kazi na Ana kwa Ana na Mtu Asiyeonekana

    Ngoja tuwasubiri hata mimi nakuwaga na mawe ya hatari ndotoni😀😀😀
  10. SuperImpressor

    App nzuri ya biblia

    Hii Biblia kiukweli ni nzuri ila tatizo lake kuna baadhi ya aya zinamiss yaani hazimo na nafikiri hii ilikuwa tatizo la kiuandishi, labda wakati wa kukopy na kupaste aya zingine zikawa zinamiss. Na kama developer hajang'amua hilo tatizo hatalifix yeye ataendelea kuboresha vitu vingine mpaka pale...
  11. SuperImpressor

    Nimekuwa na matumizi makubwa ya internet naombeni njia mbadala wakuu

    Enable data saver kwenye simu yako au disable background data usage, na kama ni kuangalia video za youtube, ukishaplay video angalia hapo kwenye video kuna playback settings, uchague quality ya chini kila unapotaka kuwach video maana ukishaiseti kuna wakati inarudi tena kwenye quality ya juu...
  12. SuperImpressor

    HoloLens 2: Teknolojia ya Kufanya Kazi na Ana kwa Ana na Mtu Asiyeonekana

    Miaka 50 ijayo kama bado dunia itakuwa ingali salama, wanadamu watashuhudia technology ya ajabu sana. Na hata kizazi cha kipindi hicho wataicheka sana hii tech tunayoishangaa sasa hivi. “Lakini wewe, Ee Danielii, yafunge maneno haya, ukakitie muhuri kitabu, hata wakati wa mwisho; wengi...
  13. SuperImpressor

    VIRUS ATTACK ".MOIA FILE EXTENSION" HOW TO DECRYPT INCRYPTED FILES?!

    Mleta mada naomba nikushauri kitu. Biashara yako ni nzuri cha muhimu hapo nakushauri endapo utaweza kudecrypt file zako basi wekea PC yako "Dual OS" (Windows na Linux distro yoyote) maana Linux haiko targeted sana na watengeneza virusi kama ilivyo kwa Windows. Nikimaanisha kwamba pale...
  14. SuperImpressor

    Zaidi ya watumiaji Billion 2 wa Google Chrome wapo hatarini data zao kukusanywa sana mitandaoni

    Du na ndo nimemaliza kulidownload kwenye Mx-Linux yangu kumbe kimeo. Ninacholipendea lina heap size kubwa unapodownload file kubwa kutoka kule Mega. Sent from my cupboard using mug
Back
Top Bottom