Pia chama kinamata sana kwa7bu kikwete hakudhaniwa kuwa mpole hv kw mafisadi,lakin kwkuw mafisadi hao*2 ndo walmkarbisha ktk chama (ccm) basi n lazma atekeleze matakwa yao. Dat the point ni kwamba ccm lazma iondolewe.
Kiukwel viongoz kama akina nchimbi,ndungai,kawambwa,makinda,wasira n.k wamepewa uongoz 2 kwa heshima ya wazee wao walokuwaga ktk uongoz pa1 na urafiki wao lakin kiukwel hawana uwezo wa kufikiri,haiwezekani serikali isisikilze maoni ya wananchi na wanazuoni mbali*2,kw style híi ha2tafka...
Wanamtwara hawajafanya vile kw shinikizo toka kw m2 bali ni shinikizo la ugumu wa maisha na kusahaulika kw mkoa wao kimaendeleo,msicngizie CHADEMA, lakini kwan ni lazima gesi isafirshwe kwenda Dar ndo itainufaisha taifa? Wajenge hyo mitambo na viwanda kule*2 mtwara kwa7bu mtwara kuna bandari...
Majungu co maridadi,prof jay kabla hajachukua card y Chadema hamkumsema vibaya after takng a card wa2 wa magamba mmeanza kushu2mu,c mda mrefu mtampangia skendo za kumchafua mkiofia atachukuwa jimbo 2015,jimbo 2tachukuw 2,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.