Mimi ni kijana (29) ni mwanaume
Napenda sana kazi ya kumfanyia mwanamke massage kama kazi. Kwa sasa nahitaji mazoezi ya mara Kwa mara hivyo ningepata hata mtu mmoja tu wa kike niwe namfanyia bure ila kila kitu ni juu yake. Hata baada ya kupata uzoefu nitaendelea kumfanyia bure. Namba yangu Hii...
Eneo lipo ihumwa ni zuri na linafaa kwa matumizi yote. Sio mbali na mjini na halina longolongo yoyote ile. Bei ni 3,700,000 kwa kila heka. Kwa mwenye uhitaji anipigie kupitia 0625799851 na whatsapp ni 0758291211. Nitakupeleka ukalione kwanza.
Kama wewe ni mwanamke, umri wowote na huna mtu wa kukufanya utabasamu kila wakati, njoo tubadilishane mawazo, tucheke, tutaniane kidogo na tufurahi pamoja.
Kwakufanya hivyo itakufanya uwe na furaha mda wote pia itakusaidia kuwa na mawazo chanya na kuwa mchangamfu muda wote na mwenye furaha...
Wooote ninao waona hapo juu nyie ni zaid ya ndugu asante kwa kila mmoja kwa kutumia time yake kuungana na mm pamoja na kuitambua changamoto iliyopo mbele yangu, nawaombea heri na mungu awazidishie siku za maisha yenu.
Mimi ni kijana 25yrs naishi dodoma, mrefu kiasi mweupe kiasi nywele nyeusi. Watu wengi husema mm ni mpole.Nimejitokeza katika ukurasa huu ili kutafuta rafiki mmoja tu wa kike awe mkarimu ambaye hana makuu sura,umri,umbo sio inshu wala asihofu.
Dhumuni la kufanya hivi ni kutokana na kuumizwa...
Naitwa fikiri niko Dodoma,24yrs natafuta mwanamke mwenye mapenzi ya kweli. Najua kumridhisha vyema mwanamke. Sifa, hata kama umezaa,au una umri kunizidi.
Au hata kama hauko vizuri kiuchumi wala usijali kinachotakiwa ni mapenzi ya kweli matamu mazito nitafute tuyaweke sawa sina masharti yoyote...
Haya sasa; kuna habari hapa mjini dodoma yakwamba yule nabii anayefanya shughuli zake za kinabii maeneo ya jamatini karibu na stendi ya daladala, kamtia mimba mwanafunzi. Nikipata mda mzuri nitawapa mchanyato mzima
Haya sasa; kuna habari hapa mjini dodoma yakwamba yule nabii anayefanya shughuli zake za kinabii maeneo ya jamatini karibu na stendi ya daladala, kamtia mimba mwanafunzi. Nikipata mda mzuri nitawapa mchanyato mzima
Kuna mdada wa senegal alikimbia vita liberia yupo senegal kwenye camp ya wakimbizi sasa kuna pesa ziliachwa na wazazi wake bank ya scotland na kwenye urithi aliandikwa yeye. Siku akatuma maombi ya kuzitaka hizo pesa bank wakamwambia atafute mtanzania ili pesa zi hamishiwe kwa huyo mtanzania...
Kuna mdada msenegal kaniomba msaada. Yeye ni yatima baba yake enzi za uhai alikuwa mfanya biashara wa madini katika maswala ya urithi aliandikwa yeye. Sasa kuna pesa ziko scotland 4200000 milion dolla na sheria za benki zinamtaka atafute mtu ambaye sio wa senegal ndio atumiwe hizo hela na mdada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.