Recent content by Superb2014

 1. S

  Hamisa Mobetto ana roho ngumu sana

  Ya Ngoswe mwachie Ngoswe.
 2. S

  Kamtongoza Mke wangu, nikamla mke wake

  Kuwa makini sana maana waweza kumletea Ukimwi Mkeo na huko kuoa Bikra ikawa bure.
 3. S

  Kama wewe una miaka zaidi ya 25 na huna mpenzi, hilo ni tatizo sugu

  Ni mawazo yako binafsi kila mtu ana mipango yake.
 4. S

  Kamtongoza Mke wangu, nikamla mke wake

  Inasikitisha sana Bikra Bikra kumbe wewe unatembea na Wake za Wanaume wenzio.
 5. S

  Kumuacha Mke kwaajili ya kazi au kuacha kazi kwaajili ya Mke?

  Kuwa wazi zaidi ili uweze kupewa ushauri mzuri.
 6. S

  Wanawake jifunzeni kuvutia waume zenu hata baada ya miaka 10 kwenye ndoa

  Siyo kwa Wanawake tu hata kwa Wanaume pia.
 7. S

  Nahisi kaniachia gundu...

  Pole sana kwa changamoto ya mapenzi usikate tamaa endelea kupambana.
 8. S

  Ushawahi kukatazwa kula chakula ugenini Hadi baba/mama mwenye mji afike?

  Haipendezi hata kidogo siyo vizuri kabisa, kuna haja ya kushiba kabla ya kwenda kusalimia ndugu au rafiki.
 9. S

  Unawezaje kumsamehe mwanaume aliyekusaliti kwa kumleta mwanamke mwingine nyumbani mnakoishi?

  Kama unampenda na kumkubali msamehe na sahau yote yaliyotokea maisha yaendelee.
Top Bottom