Recent content by Super Sub Steve

  1. Super Sub Steve

    JamiiForums Tanzania Badala ya kufanya maandamano yatakayoleta usumbufu Kwa raia Bora zishonwe T shirt 29 Oct za rangi Nyeusi watanzania wote wanaotaka hiyo kumbukumbu

    Raia si ndiyo watakuwa wanaandamana,sasa usumbufu kwa raia wapi tena wakati raia ndio watakuwa wanaandamana
  2. Super Sub Steve

    JamiiForums Tanzania Za Lameck zinahesabika?

    Yaliyomkuta Chongolo
  3. Super Sub Steve

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na utimamu wa kihisia na kiakili, maneno ya mwisho ya Tundu Lisu lazima yatakufikirisha na kukuumiza

    Hayo unaongea wewe,yeye kasema hataki kifungo cha miaka mitano,kasema aachwe huru au ahukumiwe kunyongwa fullstop
  4. Super Sub Steve

    JamiiForums Tanzania Ofisa wa TRA aliyepambana na Baba Levo apandishwe cheo

    Sheria katunga yeye mwenyewe,TRA wanatekeleza anaona wanakosea
  5. Super Sub Steve

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Umma wanalojambo kubwa sana La kumshukuru Rais Samia Suluhu!

    Kabana annual increment
  6. Super Sub Steve

    JamiiForums Tanzania Kuna nini, kufilisika?

    Kuna kupunjwa punjwa
  7. Super Sub Steve

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuaje mtu anachagua akifa achomwe (Cremation) mimi huwa naona kama ni Cult

    I prefer kuchomwa kuliko kufukiwa ukiwa na mwili hivi dah
  8. Super Sub Steve

    JamiiForums Tanzania Tuache utani jamani, where is Nchimbi?

    Ahudhurie jumuiya sasa
  9. Super Sub Steve

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata shule ya bweni masasi girls A-Level

    Nenda Masasi girls omba nafasi atahama
  10. Super Sub Steve

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata shule ya bweni masasi girls A-Level

    Mpaka sasa hivi bado hajaenda shule?
  11. Super Sub Steve

    JamiiForums Tanzania Data Science ni elimu gani na inahusu nini?

    Wtakuja wataalam
  12. Super Sub Steve

    JamiiForums Tanzania Ukitumia Simu Hizi 7 Utatupa Hiyo Iphone, Pixel au Samsung Yako

    Utafikiri kweli ana duka,kumbe winga
Back
Top Bottom