Recent content by Super gal

  1. S

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi UDSM wafanya vurugu Mabibo Hostel kwa kucheleweshewa fedha za mkopo (Boom)

    watu wanashikiria point et kuna vitu vinaharibiwa mabibo hostel hakuna kitu kama icho wanafunzi hawajaharibu kitu zaidi ya kupiga kelele..
  2. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri wako Tafadhali

    asanteni kwa ushauri wenu.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri wako Tafadhali

    Wana MMU poleni na majukumu ya kila Siku. Kwanza mimi ni mgeni kama nitakosea kitu naomba mnisamehe turudi kwemye mada nina rafiki yangu alikuwa na mpenzi wake kwa sasa wamekosana rafiki yangu kaja kuomba ushauri kwangu kwasababu wametengana akiwa ni mjamzito. Amejaribu kumsihi sana mpenzi...
  4. S

    JamiiForums Tanzania hodi jf

    mimi ni mgeni jamii forum wenyeji naomba mnipokee
Back
Top Bottom