Recent content by super-doll

  1. super-doll

    Moshi unafuka ndani ya mfumo sijui kasema kutoka moyoni au limemponyoka au ameongea akiwa anajua hawamsikii?

    Kubypass nimehangaika nimeshindwa nikaona sio case nikalipia tu .... Ndo ikakubali ila silipi tena😁 Labda km itagoma kabisa kufanya kazi
  2. super-doll

    Moshi unafuka ndani ya mfumo sijui kasema kutoka moyoni au limemponyoka au ameongea akiwa anajua hawamsikii?

    😀😀talking about telegram inaniboa jmn msaada inanitaka kulipia how jmn?
  3. super-doll

    Naombeni mnambie hii ndoto inamaana gani?

    Soma hapo Ile kwamba inajirudia ni msisitizo huo na usipoomba hapo huvuki Be serious
  4. super-doll

    Naombeni mnambie hii ndoto inamaana gani?

    Ayubu 33:14-17 Ndoto ni taarifa ya ywliyopita, yajayo na yanayoendelea..... Bt it seems kuna mahali unatakuwa kuvuka ila kuna namna kuna vikwazo vya kukurudisha nyuma Hebu jiombee kuondoa kila kikwazo ...km ni mtu anahusika ukiomba tu utajua
  5. super-doll

    KERO: CHALAMILA: HATA SISI TUNAOISHI KARIBU NA MISIKITI TUNA MATESO MAKALI YA MAKELELE MARA TANO KWA SIKU

    😂😂😂😂tuendelee kuvumiliana Chalamila kuwa makini na masuala ya imani za watu
  6. super-doll

    Kelele kutoka kwenye makanisa yaliyo maeneo ya makazi ya watu ni uchafu wa mazingira

    Mbona ht misikiti ipo baadhi wakianza adhana mpk kero Mkiambiwa kuvumiliana ndo hii ss
  7. super-doll

    Mama wa Kambo Jela miaka 49 kwa kumlisha mtoto sindano 49! Je, watoto wako salama mikononi mwa wazazi wa kambo?

    Wanaume ndo chanzo cha haya yote huwa mnayataka haya mambo mnalazimisha watt mliozaa nje waje walelewe na wake zenu, kwann? Mnaona madhara yake? Na we mwanamke unakubalije mtt wako akalelewe na mwanamke mwingine ilihali we upo mzima? Jmn kila 1 aleee mwanae km alivyozaa mi huu ungese siupendi
  8. super-doll

    Chalamila, acha kushambulia makanisa ya kiroho kwa faida zako za kisiasa

    Huyu mbona hana muda mrefu subiri uone naona kajisahau
  9. super-doll

    Wanaume amkeni; mliooa wenye degree wanawafulia nguo ama mmewanunulia washing machine?!

    Kwa sbb juna mashine ya nn kuchoshana? Yaani sshv ht kudeki , kuosha vyombo vitu vipo jmn ndo maendeleo
  10. super-doll

    Wanaume amkeni; mliooa wenye degree wanawafulia nguo ama mmewanunulia washing machine?!

    Sifui Ndo maana halisi ya maendeleo sifanyi hiyo kazi mimi
  11. super-doll

    Mtanzania aharibu mali za Bosi wake Mchina baada ya kutolipwa mshahara

    Bora tu Ht angempeleka huko asingesaidiwa Malawi jau
Back
Top Bottom