hi jf members!
Mimi ni kijana wa miaka 32,
Mwajiriwa mwenye shahada ya pili ya uchumi,
Mstaarabu,mtanashati,sinywi,sivuti,mrefu kiasi,najua nini maana ya kumpenda,kumtunza ,na kumjali msichana!
Natafuta msichana mrembo,
Elimu diploma level na kuendelea,awe mweupe kiasi,mrefu si sana,awe na...