Recent content by Supa_baba

  1. Supa_baba

    Nimepigwa na Askari na kuumizwa, nipo Hospitali

    Nina imani kubwa sana juu ya raisi wangu mpendwa maana ni raisi wa wanyonge hivyo hawezi kumpandisha cheo huyo askari maana hakutenda jambo jema kwa raia
  2. Supa_baba

    Nimepigwa na Askari na kuumizwa, nipo Hospitali

    Unakosea kusema hivyo ukiwa kama raia mwema,polisi nilienda kusikiliza wito baada ya daladala yangu kuchukuliwa na huyo askari pia ikumbukwe kuwa polisi ni sehemu ambayo hata mhalifu anaweza kukimbilia ili kunusuru maisha yake
  3. Supa_baba

    Nimepigwa na Askari na kuumizwa, nipo Hospitali

    Asante sana,nimesharipoti
  4. Supa_baba

    Nimepigwa na Askari na kuumizwa, nipo Hospitali

    Mimi ni mwananchi, mfanyabiashara naishi Mbagala jijini DSM katika Wilaya ya Temeke. Leo tarehe 19/04/2019 majira ya saa nne asubuhi ndani ya kituo cha Polisi cha Maturubai, Mbagala nimeshambuliwa bila hatia yoyote na askari Polisi anayefahamika kwa jina la Friday Mgina akiwa amevaa sare za...
Back
Top Bottom