Recent content by SUNGURA-MJANJA

  1. S

    Yaliyojiri mkutano wa Mgombea Urais wa CCM, John Magufuli viwanja vya Majimaji, Songea

    mgombea urais kwa tiketi ya ccm bwana John Pombe Magufuli pamoja na mgombea mwenza wamekuwa wakitoa ahadi kuwa endapo wakichaguliwa kuiongoza tz watatoa tsh mil 50 kila kijiji, hapa ndipo najiuliza maswali hela hizi watazitoa wapi? shule hazina madawati,hospital hazina dawa na mengine meeegi kwa...
  2. S

    Wana CCM hivi hamjaua kama Watanzania wameichoka CCM?

    Kwa hali iliyopo sasa hivi ni dhahiri kuwa watanzania waliowengi wamekichoka chama tawala chama cha mapinduzi CCM. kuchokwa/kuchukiwa kwa ccm kumetokana na viongozi mbalimbali wabunge,mawaziri hadi juu kabisa kushindwa kutekeleza ahadi walizoahidi kwa wananchi,pia kutete uovu,kupitisha...
  3. S

    Sumaye kutangaza hatima yake kisiasa Jumapili Agosti 16

    Rais siyo Rahisi teh teh teeeehhh napita tu mkuu
  4. S

    CCM imeanza kuzaliwa upya na kutakaswa

    dhambi zenu zijapokuwa nyekundu kama bendera zitakuwa nyeupe kama sufu,zijapokuwa nyekundu kama damu zitakuwa nyeupe kama theruji, waacheni waje ukawa watakaswe, maana ukawa ni kijito cha utakaso
  5. S

    Angalia Tsunami ya Magufuli Mtwara jana

    mbona vimejaa vikundi vya wacheza ngoma?
  6. S

    Taarifa ya jeshi la polisi kuhusu kumsindikiza Edward Lowassa kuchukua fomu ya Urais

    asanteni polisi kwa kuisaidia UKAWA kuing'oa ccm madarakani..watanzania wa leo sio wale wa kipindi kileeee cha wewe kova ulipokuwa unaenda shuleni na maandazi mfukoni..hiki ni kizazi kipyaaaa hongera kova endelea kuipaisha Ukawa
  7. S

    CCM Mbinga kwawaka moto wa wenyewe kwa wenyewe

    ni vurugu ktk ofisi ya chama cha mapinduzi ccm vurugu hizi zinatokana na watia nia ambao ni gaudence kayombo ambaye ameshindwa dhidi ya bw msuha kwa jimbo la mbinga vijijini. wakati jimbo la mbinga mjini kuna vurugu kati ya sixtus mapunda dhidi bwana mbunda,,nipo live ofisi ofisi ya ccm ambapo...
  8. S

    Bado Simuamini kabisa Lowassa. UKAWA Naombeni Mnishawishi nimpe kura yangu

    najiuliza sana,hv lowasa ni kitu gani hasa kimemfanya awe yuda kwa ccm? ina maana ile fomu aliyochukua kugombea kwenyw nafasi ya urais kupiti ccm ulikuwa ni geresha tuuuuu? jambo gani ulilofanyiwa lisilo weza sameheka?
  9. S

    Yaliyojiri Mkutano wa UKAWA na Wahariri, Makao Makuu ya CUF

    Lowassa umeyaanza maisha mapya ndani ya chadema/ukawa huku maisha ni tofauti na kule ulikotoka CCM. :- UKAWAni vitendo siyo maneno. :- UKAWA ukweli mbele uongo nyuma :- UKAWA hakuna mheshimiwa ukileta za kuleta unatimuliwa muulize z z k :- UKAWA wizi,ufisadi no :- Ukiwa UKAWA ni lazima CCM...
  10. S

    Zembwela wa East Africa Radio, kama wewe ni CCM pole

    u-dj ni kazi km kazi kazi zingine
  11. S

    Ninachoipendea CCM hasa uchaguzini

    mwaka huu haibiwi mtu kura
  12. S

    Naziona dalili za CCM kutoka madarakani kwa shinikizo la UN

    Dalili za chama tawala ccm zimeanza kujionyesha wazi. wananchi waliowengi wazee kwa vijana wanaapa kutoipigia kura ccm kutokana na kushindwa kuongoza taifa hili na hasa maisha kuzidi kupanda kila kukicha..ikiwa uchaguzi utafanyika october 2015 ni wazi ccm itatolewa kwa knockout na...
  13. S

    kwa nini ACT inaandaa mazingira ya ushindi wa CCM?

    Mpinge mkate au mgome ukweli ni huo kwamba ccm imekaa na kuona imechafuka nchi nzima hata nje ya nchi-wakakaaa na kujadili watauzimaje moto wa UKAWA? wakaona wamchukue msaka tonge zzk ili atumike kama pe€$d<>i ili kuisaidia ccm isidondoke. lengo la ccm likiwa ni kuwagawa wapiga kura ambao...
Back
Top Bottom