Recent content by Sunga

  1. S

    JamiiForums Tanzania SERIKALI: Tumepata pigo kifo cha Mwanafunzi NIT, tutagharamia msiba na mazishi

    NUKUU YA ASKOFU ZAKARIA KAKOBE: Leo tumeanza kuona misingi ya amani ya nchi yetu ikitikiswa, MWISHO WA KUNUKUU. Nauliza kuna sababu ya kuishi pekeyako? Sawa tufanye ilikua ni Bahatimbaya kwa manafunzi kupigwa risasi, Tujiulize labda Dhumuni ilikua apigwe nani,Eneo gani, Kwakosa lipi, Je kulikua...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Shaka Ssali atua DSM, kuongoza kipindi mubashara cha mambo ya Tanzania na Demokrasia

    Hahahaaaaaaaa Wana lumumba wameanza kutoa povuuuu! Leo mnaukimbia uzalendoo Na usema ukweli mkiwa nyie wapenzi wa mungu? Wapinzani ni washetani Natumaini Amphreyeee Mwendo kasi atakua wa kwanza kuaibika! Amekalili kupiga kelele kwa dakika Za TVI A k A Underlisence Ya BTC Brand. Sasa hapo hayupo...
  3. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni shilingi iliyopotea na haijui kama imepotea

    Kanyimbo haka uwa kananichekesha nakumbuka nikiwa na umri wa miaka saba wengi wakiimba mimi nilikua napindisha maneno kanaimbwa iv. Chama chetu cha mapinuzi cha jengwa uchi chama ooooh chama cha jengwa uchi kweli na leo kinatokea mtansamehe na mafua jaman mwingine aendeleeeee
  4. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu, tunduni - na Jerry C. Muro

    Wakati vifo vinatokea Lisu alikua na wadhifa gan. We Domo zege acha ku kuropoka Yamekushinda Ya Lipuli unaamia kwenye sheria Mavichwa maji mengine bana Ukiwa unaropoka weka na akiba ya manenoooooo
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mawakili wampuuza Lissu, waendelea na kazi kama kawaida

    Thats it waka Vote Na kumpata Rais. Umeskia wewe Kichwa Mpira Uliyeweka iyo post. kama ni wa opposition unataka akwambie nini, Kweli Tanzania tuna kazi na Ma taburarasa kamanyie Shem on uuuuuuuuuu kilaza wa Nyinyiem
  6. S

    JamiiForums Tanzania Wakina Tundu Lissu na TLS yao waonywa Kuhusu Mgomo, wajiandae kujibu Mashitaka

    Kelele wewe mchumia tumbo Na Nyinyiem yako Fyoko Fyoko Kama we una akili prove hapa kwenye uzi watu wakujue we mwanaume Lissu ameshindwa kesi ngapi Dhid ya serikali? alafu ujue nan amebwatuka na nani ame prove felia kilaza mkubwa wewe. Rud Bush Brother mji unahitaji waliosoma hiki sio kipind cha...
  7. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA si CHADEMA tena

    Tena usirudie chadema si chama cha mashangingi sasa ilo neno la kindaki ndaki umelitoa wapi? we ni shangingi wa Nyinyiem Pandikizi la chama. stay tune mbwa wenye njaa 2020 wajiandae kula nyama ya sumu. Kuna usemi unaosema mwanaume lijali uumia kwaajili ya familia yake lakini mwanaume fala...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Rais mstaafu, Jakaya Kikwete ameomba uhakiki uishe ili ajira ziweze kutoka serikalini

    Iv mawaziri Wa Tanzania elimuzao zinawasaidia kweli? mbona wanatumia woga na kuingiza ujasiri wa Bandia kwenye kusimamia majukumu yao. Sikia kama hili la ndalichako tena akiwa kama waziri wa elimu na kuwahutubia watendaji wa secta husika wakiwa wamevalia Bedge bila aibu. Eti uhakiki juu ya vyuo...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Rais mstaafu, Jakaya Kikwete ameomba uhakiki uishe ili ajira ziweze kutoka serikalini

    Jamani ukweli ni kwamba ajira kwenye utawala huu hakuna au? Mawaziri husika si waseme tuwaelewe. mbona kwenye sera zenu mliposema hapa kazi tu tuliwaelewa. Tinga tinga Mungu anakuona lakini.
  10. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Kutaka Mazungumzo Wakati Kumekucha Ni Dharau Kwa Serikali. Watazungumza Hukohuko Barabarani

    kweli kunawatu wanamioyo ya kike yan mkeo analia, hata wewe! mlizoe vya kunyonga eeeeeeh! kazi september Mosi wacha kiwakeeeeeeeeeeeee. kwani we unacholilia kitugani hadi unafikia umri huo na usomi uliokuanao ujui maana ya maandamano ya Amani! Nani amekwambia Chadema wanataka kufanya maandamano...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Sheria Mpya ya Fao la kujitoa (Withdrawal benefits) ya 2015 kwenye mifuko ya jamii ni pigo

    Hahahhaaaa hapa kazi tyuuutyuuu :D:oops:
  12. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya kusimamishwa kuhudhuria vikao vya bunge, Zitto acharuka

    Hahaahaaa hapa Nyasi Tu!
  13. S

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif aitwa kuhojiwa na polisi

    Ya gwajima ilikuaje mkuu wengine kitambo tulikua kijijini
  14. S

    JamiiForums Tanzania Lowassa kunyang'anywa shamba

    Wapangaji wenzanguuu naona mna lalama sana. Mlikua wapi kuwekezaaa? Acheni roho za kicha......we are
Back
Top Bottom