Sports extra wanatangaza mambo kishabiki yani hakuna watangazaji wanafki kama Wa hcho kipindi eti wanatangaza juz mashabiki Wa yanga waling'oa vti taifa na kwa hyo yanga iadhibiwe alafuu mtu anadai alikua uwanjan na ameona tukio hlo hv cc wengine hatukuendaa taifaa na ni nan walikuwa wanarusha...
Ni kweli kuwaondoa wageni ktk ligi yetu c suluhisho Bali ni kuharibu ushindani na mvuto wa ligi maana itapunguza changamoto kwa wachezaji wetu wa ndani na mwishowe watabweteka c unawajua wabongo kwa kuridhika!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.