kungekua na kitufe cha like hapa karibu ningekugongea hata sijui kwa nini wamekifuta!!different clubs different tolerance level..
worry not bro...kungekua na kitufe cha like hapa karibu ningekugongea hata sijui kwa nini wamekifuta!!
Wanajamvi Chelsea tabia yao kama mnavyo Ijua, kocha akiyumba kidogo tu out.
Sasa huyu mwenzetu wa Manchester United angekuwa pale Stamford bridge unadhani angebaki mpaka leo hii?
.