Recent content by sumu1

  1. S

    JamiiForums Tanzania Subaru Forester & Mitsubishi Outlander nichukue ipi?

    0714978668 niunge Kaka
  2. S

    JamiiForums Tanzania Dondoo za usaili wa kuandika (Written) kupitia mfumo wa kidigitali

    aisee nimefanya mara kadhaa kwenye OATS ila huwa sijuagi marks zangu kabisa maana sijui wapi naweza ona list ya hizo marks ili kujua nimepata marks ngapi
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kuogopa kununua Toyota Prius ni ushamba au umasikini

    Hahahahahah haitoboi kwa godoro na milima ya chekanao hahahah
  4. S

    JamiiForums Tanzania Ufahamu kuhusu eneo linaitwa Kisopwa Wilaya ya Kisarawe

    Daladala hamna ni mwendo wa Bodaboda/ bajaji..!
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ufahamu kuhusu eneo linaitwa Kisopwa Wilaya ya Kisarawe

    Kisopwa sehemu gani kuna mgogoro wa uvamizi?? Zaidi ya Tondoloni ambako watu walitolewa miaka ya nyuma huko…! Sisi tunaishi huko na tuna details zote za mji huo..!
  6. S

    JamiiForums Tanzania Ufahamu kuhusu eneo linaitwa Kisopwa Wilaya ya Kisarawe

    Yeap Umeme wa TANESCO [emoji736] Maji ni watu binafsi wanasupply kwa wahitaji direct connection nyumbani kwako unalipa units unazotumia
  7. S

    JamiiForums Tanzania Ufahamu kuhusu eneo linaitwa Kisopwa Wilaya ya Kisarawe

    Kwani mimi ndiyo nimesema maelezo hayo hapo [emoji115][emoji115]
  8. S

    JamiiForums Tanzania Ufahamu kuhusu eneo linaitwa Kisopwa Wilaya ya Kisarawe

    Hii ndiyo thamani na gharama za kisopwa
  9. S

    JamiiForums Tanzania Ufahamu kuhusu eneo linaitwa Kisopwa Wilaya ya Kisarawe

    Hahahahah hamna ila viwanja vingi vipo upande huu wa pili ukiwa unaangalia mashariki ya chimbo ndiko mji unakuwa maana ndiyo umeungana toka kinyerezi - kifuru - king’azi - vibura kisopwa…! Next time pitia kifuru au maramba mawili ..! Japo kifuru ndiyo kupo [emoji106][emoji106][emoji106]•
  10. S

    JamiiForums Tanzania Ufahamu kuhusu eneo linaitwa Kisopwa Wilaya ya Kisarawe

    Upo bado
  11. S

    JamiiForums Tanzania Ufahamu kuhusu eneo linaitwa Kisopwa Wilaya ya Kisarawe

    Kuna njia ya kupitia tabata Kifuru na ndiyo mostly inatumika kwenye almost shughuli nyingi za kibinadamu
  12. S

    JamiiForums Tanzania Ufahamu kuhusu eneo linaitwa Kisopwa Wilaya ya Kisarawe

    Lahasha sio sehemu yote ni eneo serikali mbona pamepandwa kabisa bicon za Mlongazila mipaka ipo kabisa..:!
Back
Top Bottom