Recent content by sumia

  1. S

    JamiiForums Tanzania Vyeti muhimu kuverify ajirapotal

    Msitishe watu
  2. S

    JamiiForums Tanzania Usafiri Dar kwenda Arusha

    Wadau jamani vipi hali ya usafiri kwa magari kutoka Dar kwenda Arusha. Nina safari ya huko tarehe 28 vipi gari zinapatikana au za shida? Wanaofahamu naomba wanijuze kama msongamano umepungua.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa namna ya kutambua jinsia ya mtoto katika hali hii

    Nilikuwa period kwa siku nne na hizo siku kumi nimeanza kuhesabu tangu siku ya Kwanza naona damu
  4. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa namna ya kutambua jinsia ya mtoto katika hali hii

    Jamani najua humu Kuna wataalamu wengine naomba mnisaidie, Nina mzunguko wa siku 28 ,nilisex siku ya 10 baada ya kuanza period yangu na nikapata mimba. Je, hapo mtoto anaweza kuwa wa jinsia gani?
  5. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari vitz,or Ist

    Kichwa cha habar kinajieleza naombamwenye nayo atoe sifa zake bei na picha niweze kutoa maamuz
  6. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba ya kupanga Arusha

    Nime ku PM mkuu
  7. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba ya kupanga Arusha

    Asante
  8. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba ya kupanga Arusha

    Ipo maeneo ya wapi iyo
  9. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba ya kupanga Arusha

    Tusaidiane jamani
  10. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba ya kupanga Arusha

    Nyumba iwe maeneo ya mianzini au sanawari iwe double(chumba na sebule) ikiwa self itakuwa vizur Zaid isiwe mbali na barabara kuu, kodi itatolewa kulingana na ubora wa nyumba mawasiliano 0768600941
  11. S

    JamiiForums Tanzania Android phone for 50,000

    Simu bado ipo
  12. S

    JamiiForums Tanzania Android phone for 50,000

    Ok karibu
  13. S

    JamiiForums Tanzania Android phone for 50,000

    Bado ipo Mkuu nipe pesa iyo
  14. S

    JamiiForums Tanzania Android phone for 50,000

    Yes Ina 3g
  15. S

    JamiiForums Tanzania Android phone for 50,000

    Ongeza 9000 tu
Back
Top Bottom