Ni vema wananchi wenye kwa hiari zao waondoe tofauti hizo kwa kuwa kuna uwezekano wa kuja kuhangamiza kizazi kijacho maana chenyewe ndicho hasa kinahusikaaa
Kwa muungwana na muerewa wa historia na uhalisia wa tanzania na zanzibar hawezi kutaka muungano uvunjike.. Nas swala la ardhi liwe la jumuiya sababu za kiusalama zaidiii
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.