Hawa Wakandarasi ni noma kwel kitu wameshindwa kutengeneza ni Roho tu vingine vyote they copy & paste ileile yenyewe i salute them ila hizi simu hazina shida sana coz they do same work as Original tatizo ni Quality & Quantity Mkuu....!
Ajira imekua ngumu Mkuu wakina Dada inabidi wapige kazi kupitia miili yao Uchumi wanao ya nini waukalie hiyo ndio misemo yao.Wacha wapige kazi kazi ni kwetu sisi watoto wa Kiume we have to watch out.....!
Nchi hii Watu wanaofikiria kwa kutumia MAKALIO ni wengi sana hivyo akitokea kiongozi anayekurupuka kama Lema atapata wafuasi wengi sana 2015 hatutaki hii Bogus...!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.