Kama wamevunja SHERIA kuwa mpinzani kisiwe kigezo Cha kutumia fursa hiyo kuvunja amani ya nchi ambayo watu walipoteza maisha yao. Mtu KWa ajili ya maslahi binafsi ndo anataka kuvunja amani embu tujiulize 2015 waliunda ukawa na ulikuwa na nguvu kubwa na kupitia umoja ule wabunge wapinzani...
Tatizo nyie shule ndogo mnachagua watu wawe wagombea hata kusoma awajui CCM Ina hadhina kubwa ya viongozi na inatengeneza viongozi atuokoti tu maana hapa Hadi mawakala wenu shule zeroo. Wenyewe mnalaumiana.
Chama chochote ambacho kipo madarakani lazma kieleze yaliyo waahidi wananchi kipindi kilichopita yametelezwa KWa kiasi gani na wanaahidi nini KWa kipindi kijacho na CCM inaongozwa na ilani ndio mwongozo wetu Sio nyie sera zenu Lila siku ni umbea tu na sio kusema nini mtawafanyia wananchi KWa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.