Nilipita na pikipiki jana,nilipowaona niliongeza mwendo,wameficha sura na wengine kuvaa makoti nilijua majambazi wanakusanya mauzo,ila taarifa zipo polisi kwa usiku uleule,sasa hapa ndio napata picha kwann hawakufika eneo la tukio,kumbe ni operesheni maalum,poleni wahanga.
Pamoja mkuu,maisha ni changamoto na hayana njia moja kama kwenda mbagala,muhimu ni kujitoa na kujaribu kwa kile unachokiamini(uthubutu)bila kujali watu watasema nn ukifeli,tunawaza maisha kabla ya kuwaza kufa.
bichwa la kambale
Wapo wengi tu,mfano my brother alienda south africa miaka kumi iliyopita,amefight sana mpaka akaona anafeli akaamua kuingia kwenye dili haramu hapo ndipo ilikuwa mtihani,walidhulumu pesa ya biashara ya mzigo,kilichowapata hata sahau,mwenzake aliuawa mbele yake kwa kupigwa kisu cha tumbo,yeye...
Nilipata pesa ktk kazi za vibarua baada ya kumaliza form six kama milioni 2 hivi,nikifikiria nifanye nn na hizi pesa,kila mtu nunua kiwanja,je kiwanja kina mantiki kwa mimi ambae sina kipato cha ujenzi,nikaona haina tija kusubiri mpaka aje mtu nimuuzie kipori sio mchakato wa muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.