Recent content by Sultan Zuwera

  1. Sultan Zuwera

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Bulb camera

    Hata nami ni mhitaji wa CCTV aina hizo. Naamini nitanufaika na majibu yatakayotolewa na members wa jukwaa hili. Karibuni.
  2. Sultan Zuwera

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanga ni wanyonyaji sana

    Feisal jinga kweli
  3. Sultan Zuwera

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Engineer Hersi ashinda Uenyekiti wa Umoja wa Vilabu Afrika African Clubs Association, hongera kijana

    Hahaaaa eti kura pekee ya Try Again ilimkataa. Lakini wapi bwanaaa
  4. Sultan Zuwera

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 1-1 Namungo FC | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 09.11.2023

    Hili bango limekosewa au ndiyo hali halisi?
  5. Sultan Zuwera

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TETESI: Mwenyekiti wa Simba, Murtaza Mangungu kujiuzulu muda wowote kuanzia sasa

    Inawezekana
  6. Sultan Zuwera

    JamiiForums Tanzania Twende tukampokee Tundu Lissu leo saa sita JKNIA

    Kama JKNIA kwa kirefu una maananisha "Julius Kambarage Nyerere International Airport", basi kifupi cha jina hilo kilibadirishwa enzi za Mhe. Basil Mramba wakati akiwa Waziri wa Ujenzi kwa sababu eti Wazungu walikuwa wakishindwa kulitamka jina la "Kambarage" na hivyo kifupi chake kuwa "JNIA"...
  7. Sultan Zuwera

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukata na Uswahili: CEO Andre Mtine aondoka Yanga

    Soma hiyo bwana!!
  8. Sultan Zuwera

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FT: Azam Sports Frederation Cup(FA): Azam Fc 0-1 Young Africans Sc | 12/06/2023 Mkwakwani Stadium Tanga

    Kuna mtu anabisha?
  9. Sultan Zuwera

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa rais wa Yanga Hersi kuelekea mechi ya fainali

    Ni kweli kabisa baadhi ya Wana siasa wetu siyo wa kuwaamini kabisa. Haswa huyo uliyemtaja ni mnazi wa mkubwa wa upande wa pili anaweza akafanya lolote lile.
  10. Sultan Zuwera

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba mpya inauzwa

    1. Mahali : Kitunda Relini-Ilala Dar es Salaam. 2. Mtaa : Majani ya Chai/ Kwa Traffic 3. Umbali : Kutoka Barabara ya lami dakika 7 4. Kiwanja: Sqm 357 5. Hati: Hati ya Serikali ya Mtaa 6. Vyumba : 3 ( 1 Self Contain, na vyumba 2 vya kulala. Sitting room, Dinning room, Public Toilet na jiko. 7...
  11. Sultan Zuwera

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FT: Marumo Gallants 1 - 2 Young Africans | CAF Confederation Cup 17.05.2023

    Yanga Oyeeeeee
  12. Sultan Zuwera

    JamiiForums Tanzania ATCL Kaa Mbali na Ushirikiano na KQ

    Kwanza Kenya wenyewe Shirika lao la KQ limewashinda wanataka kuuza hisa zake. Tunatakiwa tuwe makini katika jambo hilo tusiingie kichwa kichwa tutajuta mbeleni.
  13. Sultan Zuwera

    JamiiForums Tanzania Bajaj aina ya TVS inauzwa

    Wakuu mniwie radhi kwa mgeuko wa picha zangu. Ni simu yangu bwana [emoji1][emoji1]
Back
Top Bottom