Recent content by sultan makenga

  1. sultan makenga

    JamiiForums Tanzania Mdogo wa mke wangu (binti) amenidharau na kunitukana mbele ya mke wangu

    Kikubwa bwanamdogo inaonekana hauna nguvu za kiume (uanaume) mwanamke wako kakushika utapata shida sana
  2. sultan makenga

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kumtafuta Ex wake wasababisha mgogoro katika familia

    Huyo Mwanaume wakukaa kutaka kujua uchafu wako wa nyuma ana moyo??
  3. sultan makenga

    JamiiForums Tanzania Mwenza wangu amegoma kuachana na BodaBoda wake

    Kuwa mwanaume,kuwa na maamuzi
  4. sultan makenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Kumbe mlitiwa 5 nunge
  5. sultan makenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Pole kaka kumbe mlitiwa 4
  6. sultan makenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Wameliwa 4 hamnaga kitu hao
  7. sultan makenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Endeleeni kumtegemea joash onyango
  8. sultan makenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Tukawasaidie majirani kipindi cha kwanza washaliwa goli tatu,naona wanawaza 2022
  9. sultan makenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania WFP yasema watu Milioni 2.4 kukabiliwa na baa la njaa nchini Kenya

    Endelea kusifia utajiri wa wanaume wenzio,kenya hivi kenya vile kumbe hata kiwanja cha 20×20 unakodishwa ujenge
  10. sultan makenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania WFP yasema watu Milioni 2.4 kukabiliwa na baa la njaa nchini Kenya

    Kwanini asijinenepee na wajinga ndio waliwao,wanachezeshwa kekundu
  11. sultan makenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KRA imekusanya ksh 476 billion kwa muda ya miezi mitatu. Pesa ambayo TZ inakusanya katika muda wa miezi sita.

    Pesa zimesharudi,hiyo Kenya kuna matatizo makubwa sana maisha yako juu sana kumiliki ardhi ni tatizo,2022 lazma muombe usuluhishi kwenye chaguzi
  12. sultan makenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KRA imekusanya ksh 476 billion kwa muda ya miezi mitatu. Pesa ambayo TZ inakusanya katika muda wa miezi sita.

    [emoji23][emoji23][emoji23] hivi uko kenya una hata kiwanja nina imani hadi unakufa hutomiliki ardhi karibu Tz
  13. sultan makenga

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mchumba wa kiume, ukivutiwa na vigezo vyangu karibu

    Hellow nimechelewa au bado nafasi iko wazi?
  14. sultan makenga

    JamiiForums Tanzania Hisia zangu zinanituma nioe "Mwanajeshi"

    Pole sana huwezi fuga mnyama pori unless nawewe uwe mpori pori Itoshe kusema humuwezi mwanajeshi inataka uwe mvumilivu na ukubali sio wako peke yako
  15. sultan makenga

    JamiiForums Tanzania Hili kwangu limekuwa jaribu sana toka kwa wife; anataka kuniua

    Inasikitisha sana wanaume tunaisha na hayo ndio madhara ya kumdekeza mwanamke mpaka anakuzoea wewe kila kitu chako unamwambia mwanamke
Back
Top Bottom