Recent content by sulemoney

  1. sulemoney

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hqhahahhahaha we jamaa
  2. sulemoney

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Huezi amni nilimaliza nyuzi nyingi za magari tangu last year, najishangaa kujua kila aina ya gari na changqmoto zake kuliko degree yangu
  3. sulemoney

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    S Shukran mkuu nanyi mungu awafanyie wepesi mpate kuyaona majina yenu
  4. sulemoney

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Pamoja ndugu yangu soon mungu atawafungulia
  5. sulemoney

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Wakuu kila nilipokuwa nataka ku coment ktk huu uzi, moyo ulinambia acha mihemko yaan takriban 2 years now, nimekuwa nikisoma TU bila kureply, ASEE LEO NAKOMENTI KWA WAPAMBANAJI WENZANGU, Nimerraaaaaambaaaaaa asali na rasmi ntaendelea na Jukwaa la GEREJI 🙃 Kila la kheri wapambanaji wenzangu
  6. sulemoney

    JamiiForums Tanzania Ufadhili wamasomo kutoka BODMAS ni wa kweli?

    Nimeshangaa kampuni haijasema inahusika na nini, ipo wapi na Kwa imetoa udhamini Kwa vigezo gani
  7. sulemoney

    JamiiForums Tanzania UFADHILI WA MASOMO KUTOKA BODMAS

    Hapana hawakuwahi
  8. sulemoney

    JamiiForums Tanzania UFADHILI WA MASOMO KUTOKA BODMAS

    Habari wakuu Kuna jumbe imeingia katika simu ya mzazi wangu kutoka kampuni yenye jina la bodmas ikimtaja mdogo wangu aliemaliza kidato cha nne na kufaulu vizuri, ikisema hivi. "HABARI, BODMAS IMEMDHAMINI (UJKE NÀTIKULD) KUSOMA CHETI/DIPLOMA (ADA YOTE/NUSU). FOMU BURE! FIKA 3-8/3/2025 AU PIGA...
  9. sulemoney

    JamiiForums Tanzania Ufadhili wamasomo kutoka BODMAS ni wa kweli?

    Habari wakuu Kuna jumbe imeingia katika simu ya mzazi wangu kutoka kampuni yenye jina la bodmas ikisema hivi. "HABARI, BODMAS IMEMDHAMINI (UJKE NÀTIKULD) KUSOMA CHETI/DIPLOMA (ADA YOTE/NUSU). FOMU BURE! FIKA 3-8/3/2025 AU PIGA 0623.... / 0714....." Je Hawa ni wa kweli?
  10. sulemoney

    JamiiForums Tanzania Je, Injili Ilitabiri Ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)?

    Sijasema uniamini Mimi Bali nimekuomba utulivu mkubwa kusoma biblia na uielewe, wala usilete uongo na kujiongezea maandiko ikiwa ya mwanzo yamekushinda kujibu. NAAMINI WENYE KUTAKA KUELEWA NA WATAELEWA ILA WASIOTAKA BASI
  11. sulemoney

    JamiiForums Tanzania Je, Injili Ilitabiri Ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)?

    Asee kuongea na wakristo inafurahisha kabisa ,KITU KINAELEWEKA LAKINI WANAPINDISHA KABISA AFU MTU UNAONA , Hapo TU ktk YOHANA 20 11 -17 nimeamua basi niende Kwa hatua pasipo kuongeza na kupindisha MANENO lakini unajaribu kuuma MANENO na kujichekesha
  12. sulemoney

    JamiiForums Tanzania Je, Injili Ilitabiri Ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)?

    Hapa hakuna ushahidi huyu alikuwa simion na sio yesu, simion alietoka mashamban ndio alibebeshwa msalaba na sio yesu. Biblia imeeleza kuanzia kumkamata simion ,kwenda Golgotha mpaka kuwatundika watu watatu AMBAPO KATIKA WALE WATATU HAKUKUWA NA YESU PALE
  13. sulemoney

    JamiiForums Tanzania Je, Injili Ilitabiri Ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)?

    Ukitaka nijibu huku inamaana umekubali yesu hakufa wala hakutaka kufa Kila mtu atabeba zambi zake na kubwa MUNGU MMOJA TU na yesu si mungu Kwa kuwa umeshindwa kithibitisha na ukitaka kujua SIPINDISHI MANENO NATUMIA BIBLIA YENU HIYO HIYO AMBAYO INA MAPUNGUFU YOTE
  14. sulemoney

    JamiiForums Tanzania Je, Injili Ilitabiri Ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)?

    Dah jaman jaman wakristo mpaka hii pia huelewi kuwa YESU HAKUTAKA KUFA KABISA, kulalamika kote na kuomba KIKOMBE KILE CHA KUFA KIMUEPUKE, bado mnalazimisha kuwa YESU ALITAKA KUFA KWA HIARI KWELI, Tafadharini tulizeni akili na msome Kwa utulivu mbona vitu vinaeleweka, YAAN YESU ATAKE KUFA KWA...
  15. sulemoney

    JamiiForums Tanzania Je, Injili Ilitabiri Ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)?

    Sibagui , siwezi kwenda andiko lingine ikiwa nilichouliza hujajibu Bali unajichekesha na kupindisha maana
Back
Top Bottom