Recent content by SuleJR

  1. S

    JamiiForums Tanzania Jifunze fursa 6 za biashara mtandaoni

    Usiogope, fungua account na uifanyie kazi masuala ya TCRA yatafuata baadae.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Serikali futeni uongozi wa maabara ya kupima Covid19 kwa uzembe wa kuchelewesha majibu ya vipimo makusudi

    Nadhani ujumbe utakua umefika sehemu husika.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wengi ni wabinafsi

    Haya mambo yapo kila sehemu, kumbuka hakuna mtu anaetaka ufanikiwe hapa duniani japo wachache wana mioyo mizuri tu kwani hii ni tabia ya mtu tu. Cha muhimu usikate tamaa unapoamua kufanya jambo lako.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Airtel ni mtandao wa hovyo kabisa sijawahi kuona

    Kiukweli Airtel kwa sasa huduma zake hazipo sawa, unaweza ukampigia mtu hata mara 20 unaambiwa haipatikani au ina-disconnect kabisa wakati anakua hewani kabisa, internet inaweza ikatoka siku nzima mpaka muda wa bando kuisha unafika unakuta haujalitumia kabisa. Airtel Tanzania kuna tatizo...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Muhimbili kuna utaalamu, dawa na vifaa tiba vya kutosha? Mbona majeruhi wengi wa moto wa lori la mafuta wanafariki?

    Kama mTZ tunajua unaumia ndugu zetu kupoteza maisha ila kumbuka waliopelekwa Muhimbili kwa matibabu zaidi ni wale ambao wamepata majeraha ya moto kuazia 80% na zaidi na Madaktari sio Mungu hawawezi kuzuia kifo isipokua wanajitahidi kuokoa maisha kadri ya uwezo wao panapowezekana na hasa kwenye...
Back
Top Bottom