Recent content by Suleiman755

  1. S

    JamiiForums Tanzania Benjamin Fernandes Ni nani?

    Tusidanganyane hata yeye anajua kuwa hiyo ni hela nyingi tu kwa muajiliwa wa U.S na hasa anaenza maisha na ndio maana anajitapa ingekuwa ndogo asingejitapa hapa bongo kwani watu wanaelewa cost za maisha ya u.s wengi tu! Hapo ni kusema kama anapiga fix kuacha huo mchongo ama anaongea ukweli...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Benjamin Fernandes Ni nani?

    Mkuu tuangalie data halafu tuongee maana tukibishana mwingine atasema yy kaishi huko kumbe fiksi tu. Yaani 400mil /365 sawa na 35mil/30 days ni ndogo kweli!
  3. S

    JamiiForums Tanzania Ommy Dimpoz taabani akimbizwa Ujerumani

    Kama ni kawaida basi Mwenyezi Mungu amfanyie wepesi ila kama ni hayo wanayolalamikia wadau humu kwakweli sala hii fupi sidhani kama inatosha maana sala itapaswa aanze mwenyewe kwanza kwa toba kabla sisi Mungu hajatusikiliza sisi wengine huku.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kabrasha chumba cha kunyongea

    Kwa bongo wala rushwa na wahujumu uchumi bado hawaingii kwenye adhabu hiyo hata wauza madawa ya kulevya sasa labda utujuze zaidi ya wauaji ni hatia zipi tena. Maana tunaelimishana pia humu.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kabrasha chumba cha kunyongea

    Angeuliwa mtu wako mfano mke ama mtoto kwa kukusudia je unaweza kumsamehe muuaji? Kama huwezi ujue na wenzio wanahitaji wafanyiwe haki na imetokana na maagizo ya torati ambayo ni yetu sote wakristo na waislamu. Hata babu zetu kabla ya kuja dini walikuwa na imani zao lakini kifo kwa wauaji...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Nabii wa Kitunda, kumuona ni sh. laki na nusu

    Kapandisha bei tena! Ilikuwa 70000/= mwanzoni .kwann asiendeshe migari mikali.
  7. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Familia inakumbwa na mikosi, dada kawa chizi, kaka kapata ugojwa wa ajabu kafariki, tunawalaumu wazazi kwa matatizo hayo. Tufanyeje yaishe?

    Ni dhahiri ni swala laana iliyoingilia kizazi chenu haijalishi ni wazazi wameibeba ama kuna watu waovu wameitengeneza inavyoonekana ni laana inayodhamilia kupita vizazi hadi vizazi. Unahitaji ukombozi na umejaribu vingi mpaka sasa ila jaribu kwenda kanisa la walokole wanaoelewa kudeal na laana...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Ijue nadharia ya kuishi na majini watu miongoni mwetu

    Dunia hii ya mwenyezi MUNGU ina mafumbo mengi sana yaliyojificha hasa kwa wale ambao hawajapata kusikia lolote la zaidi ya haya ya kawaida tuliozoea kusikia na kuhubiriwa. Umepata kujiuliza wale wote wanaopata uzazi kwa msaada wa waganga wa tunguli, ramli na hirizi za kipepo huwa watoto wao...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ijue siri ya muhitimu wa UDSM kujiua.

    Wanakumbuka jamaa aliyejichoma moto mbele ya ofisi za serikali kuu Tunisia na kilichofuatia nchi nzima baada yake. Wajanja sana matukio ya namna hii yana nguvu sana hizo damu huwa zinafungua nguvu za ziada za mapambano ya kudai haki.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Nimechoka sana na maisha

    Ila weweee!
  11. S

    JamiiForums Tanzania Maisha ni magumu kweli?

    Noma sana!
  12. S

    JamiiForums Tanzania Nalia machozi na kuwaangukia tena watanzania wenzangu mnisaidie

    Dah! Alivyosema vile ufike ofsini kwake ameshaacha maelekezo. Dunia ya leo kweli utu umeisha duniani.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Nalia machozi na kuwaangukia tena watanzania wenzangu mnisaidie

    Siku hizi population ni kubwa hadi viwandani wamejaa matineja tu kwenye hizo deiwaka na wapo wengi mno.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Nalia machozi na kuwaangukia tena watanzania wenzangu mnisaidie

    Mkuu yuke mwana Jf aliekuita ofsini kwake hamkuyajenga huko hilo likafika muafaka.
  15. S

    JamiiForums Tanzania Suala la ajira linazidi kuwa janga Tanzania

    Wenzetu huko wakiongelea ajira wanaongelea zile rasmi zinazoeleweka lakini zile za.kubeba maboksi zipo nyingi tu na watu hawafi njaa lakini bongo hata ukiomba kibarua ubebe kreti kiwandani hakuna maana viwanda vichache.
Back
Top Bottom