Soma vizuri ndio ujibu... Apo juu pameeleza kuwa ripoti ya daktari inasema amevunjwa shingo... Na inawezekana kuna alama za vidole na mikono ktk shingo ya marehemu.. Na baada ya apo mtuhumiwa akafikiri atakuwa amekwepa kesi kwa marehemu kuonekana alizama...
Mbona ni wa muda mrefu uyo kijana?? Ninamfahamu takribani mwaka wa pili sasa..
Na mara nyingi anakuwa mtaani akifuta habari...
Pia unakumbuka umri alioanza Milard ayo kusoma taharifa ya habari ya ITV?
Na uyo kijana unajua ana umri gani?
Kaka.... hauna uhakika na kitu ambacho umekiwasilisha... Pia ni sikia sema..Hear say.. Kingine sio kila mtu ambae yupo Bar au Huko picha ilipopigwa kuwa ananunuliwa pombe na Nassari.... Wacha kuzarau watu.. Japo umekosea pia ukasema anawanywesha.. Na ukweli kila mtu anakunywa mwenyewe kwa mikono...
Pole sana... Kitendo cha kutaifishwa tu Ilo shamba lako bila ya kupewa notice ni kosa kisheria.. Pia je kuna Malipo yoyote ambayo walikupatia? Kama watakuwa hawajakupatia malipo yoyote watakuwa wameenda kinyume na katiba ya jamhuri ya muungano ya Tanzania ya mwaka 1977.. Ibara ya 24.. uisome...
Kaka ameelezea vizuri sana.. Mtuhumiwa hatakamatwa na kupekuliwa na askari polisi... Je... Wewe Ni polisi? Pia uelewe maana ya neno (Isipokuwa) .. In Law every General rule has its Exception..
Kazi yao ni kuangalia na kusimamia sheria za usalama Barabarani na si kutoa upepo magari ya watu.. Tupia picha apo tuanze kuwashurutisha na kuwaadabisha..
Mleta mada.. Zanzibar + Tanganyika # Tanzania.. sawa.. tatizo ni viongozi wako kukataa kuitambua Tanganyika kama moja ya nchi ambayo imepelekea jina Tanzania.. Hizo ni nchi mbili.. serikali mbili.. ambazo zimezaa serikali ya tatu ambayo ni Tanzania.
pia kama zanzibar ina katiba yake kwa nini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.