Recent content by Sukunyuku

  1. S

    GE2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

    Jimbo la ukonga matokeo rasmi ni yapi
  2. S

    GE2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

    Vipi jimbo la misungwi nani kashinda
  3. S

    Kwa wakazi wa dar: Pata internet yenye kasi ya 4G popote uendapo.

    mkuu mbona maeneo ya gongolamboto network ya smile haikamati?
  4. S

    Wafanyakazi 1,500 wa Tanzania and Zambia Railway Authority (TAZARA) wafukuzwa kazi leo...

    Kwa kweli ningependa kumshauri mwakyembe kama huwa anapitia hili jukwaa aangalie kuna tatizo la msingi kwa management ya tazara hq haiingii akilini kama tazara inasafirisha mizigo kwenda zambia halafu kila siku haina hela ya kulipa mishahara wala kulipa supplier wake.tazara inafanya collection...
  5. S

    Masters degree ya John Mnyika toka nchini Brazil

    huu ni udaku huna hoja za msingi unalete habari usiyo na uhakika na nayo.
  6. S

    Tamko fupi la Jumuiya ya Madaktari - Juni 28, 2012

    kwa kweli hii ni aibu kubwa kwa nchi iliyoheshimika kuwa na amani kuona serikali ikiendele kujikanyaga bila kuwa na ufumbuzi juu ya huu mgogoro.ukiangalia mahospitali ambapo vifaa ni duni watu wanalala mpaka mlangoni hawa madaktari nani aliwaambia waliumbwa na mungu kukubali kuendelea kuteseka...
  7. S

    Hodi JF members

    Hodi Hodi JF member
Back
Top Bottom