Recent content by sukununu material

  1. S

    JamiiForums Tanzania Wanaumeee!!! Njia za kutongoza mwanamke na kukupenda daima...

    Mambo yapo kwenye PESA tu
  2. S

    JamiiForums Tanzania Traffic mto nduruma Arusha

    Wale traffic wanaokusanya fedha bila risiti leo jumatatu wamerudi kwa kishindo hapo mto nduruma na wanaendeleza zoezi Lao la ukusanyaji fedha isivyo halali. Takukuru mpo wapi jamani au na nyie mnashirikiana nao?
  3. S

    JamiiForums Tanzania Traffic mto Nduruma - Arusha

    hawapokei bana
  4. S

    JamiiForums Tanzania Traffic mto Nduruma - Arusha

    Hawapokei buku2 wala 3 tena wa kike ndo balaa utafikiri hawajazaa watoto
  5. S

    JamiiForums Tanzania Traffic mto Nduruma - Arusha

    Wamejikusanya kundi kubwa la trafić police pale mto nduruma na kushurutisha watu kulipa faini na ukiwauliza risiti wanakuambia uifuate kituoni kwao. Sasa kama hawana risiti kwa nini wawatoze watu faini? Ni kwamba wanakomba hela za watu wazi wazi, imekuwa ni mradi wao wa kujiingizia fedha...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Masogange awataja wamiliki wa mzigo aliokamatwa nao SA

    Kigogo mmoja wapo ni mimi hapa :ban:
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi wa MCL apigwa risasi... Yaingia na kutokea upande wa pili...!!

    Siyo wiki mbili tu, hata baada ya siku mbili, juzi tu afisa usalama aliuwawa akiwa garage tegeta
  8. S

    JamiiForums Tanzania Hi

    Hello wenyeji, I Would like to great you and ask for your welcome to this forum. Natanguliza shukrani Sukununu material:love:
Back
Top Bottom