umenena vyema, lengo la adhabu ni kurekebisha/kubadili tabia, adhabu inapogeuka mateso inasababisha matatizo mengine makubwa zaidi, ikiwemo hayo ya woga, chuki, kulipiza visasi, mwisho wa siku ndo hayo mtoto anafanyiwa ukatili/kubakwa/kulawitiwa na mtu wa aina hiyo, anashindwa kusema popote...