Recent content by Sugukiatu

  1. S

    Mwanza City: The Photo Gallery

    😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
  2. S

    Mwanza City: The Photo Gallery

    Dawa ni serikali ya majimbo tu. Haiwezekani mwanza tunakilakitu halafu hamna maendeleo stahiki kwa muda stahiki. Siasa tu. Yani sijui wanatuchukuliaje watu mwanza....
  3. S

    Mwanza City: The Photo Gallery

    Barabara hiyoooooo........
  4. S

    Mwanza City: The Photo Gallery

    Nafikiri ndio mchakato Wa barabara ya mkuyuni-nyakato kujengwa. Tuendelee kusubiri kuona yafuatayo....
  5. S

    Mwanza City: The Photo Gallery

    Fuatilia mkuu kwenye hyo barabara kunaalama nyekundu zimewekwa kwenye nyumba zitakazoathiriwa.....
  6. S

    Mwanza City: The Photo Gallery

    Na ndio maana watu hawaendi kununua vitu supermarket. Niliwahi ishi nchi flani miaka sita nikiwa nasoma huko yani bei ya mtaani na ya supermarket ni sawa. Kama kunautofauti ni visenti vichache. Sijui bongo shida nni........
  7. S

    Mwanza City: The Photo Gallery

    Hapo ndio taarifa hazijajulikana ni lini watajenga. Ila sidhani kama watajenga bila kulipa watu kwanza watakaoathirika na upitaji Wa barabara hii.
  8. S

    Mwanza City: The Photo Gallery

    Barabara nayozungumzia ni hiyo ya mkuyuni-nilepearch . Kwamba uthamini nasikia umefanyika kwa nyumba zitakazoathiriwa na mradi au ujenzi wa barabara hiyo. Nafikiri watakuwa serious na ujenzi wa barabara hii ya 9.5 Km
  9. S

    Mwanza City: The Photo Gallery

    Naongelea barabara ya mkuyuni kwenda Nilepeaech
  10. S

    Mwanza City: The Photo Gallery

    Nasikia barabara ya mkuyuni uthamini wa fidia umefanyika kwa nyumba zinazoathiriwa na mradi huo.....
Back
Top Bottom