Wakuu Habari,
Zenu nilibahatika kuhitimu course ya water supply and sanitation engineering pale chuo cha maji ubungo kwa ngazi ya NTA 4.
Changamoto ambayo nakutana nayo katika hivi vituo vya dawasa Ata nafasi ya kupatia uzoefu nakosa namaanisha kujitolea ngumu ila wapo form 4 leavers dawasa...
Nishauri but usinijibie that Sina pesa ,,sijui kizungu unskilled labour are u real sure that I am unskilled labour ? I got money for visa Ila changamoto ni taratibu za kuipata Hadi niwe na mtu anifanyie process ya invitation letter that's all ...I can operate forklift , I can make land survey...
Habari naulizia kwa yoyote anayefahamu vyuo vinavyofundisha kozi za kuendesha mitambo south africa na kama wanafanya process za kubadili cheti maana nna cheti Cha forklift Cha hapa TZ
Kwa yoyote anayefahamu hivyo vyuo anijulishe kozi nnayo itaka Sana ni EXCAVATOR .. na kwa mwenye uelewa vizuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.