matotokeo ya kidato cha nne ni mabaya sana je hapa tatizo liko wapi?kuna wanafunzi wanachukua masomo ya sayansi lakin wamejaziwa masomo ya biashara shule zingine kuna wanafunzi walisimamishwa shule hawakufanya mitahani lakin wamepata matokeo wengine mpaka kuwa daraja la tatu.....tusiwalaumu...
mimi ni graduate natafuta kaz yeyote kwa level yangu ya elimu iwe part time,temporaly au parmanent nimesoma social science nimeshawah kufanya kaz ya cashier na customer care kaz yeyote naweza kufanya cha msingi training
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.