Recent content by Submita

  1. S

    JamiiForums Tanzania Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

    Habari wakuu, Nimejitaidi sana kupambana na fezea hii lakini nimeona bora nizungumze humu labda ntapata msaada .... Kabla sijaoa nilikuwa shababi sana nilikuwa na uwezo wa kutembea round 4 mpaka 6 na zote zilikuwa za kibabe... Sasa Nina miaka kadhaa kwenye ndoa naanza kuona mabadiliko...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ananishangaza sana matendo yake...

    Watu wanao tuzunguka wanasema mtoto anafanana na Mimi ...lakini Mimi sioni kama nafanana nae
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ananishangaza sana matendo yake...

    Sioni kama tunafanana
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ananishangaza sana matendo yake...

    Tuna mtoto wa kike mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi 3 , Tulibahatika kupata mtoto kabla ya kuoana yaani kipindi cha upenzi ndio kipindi ambacho alipata mimba na baadae akajifungua ndipo nikaamua nimsogeze tuwe familia moja.... Jambo linalo nishangaza sana ni kauli zake tata...kama mmnavyo...
Back
Top Bottom