Recent content by SUBMAC

  1. SUBMAC

    Dawa/njia gani inatibu vipele vya ndevu vinavyosababishwa na kunyoa?

    Habarini wanajamvi! Naombeni msaada wa njia ama dawa inayoponya vipele vinavyotokana na kunyoa ndevu. Nimejaribu kubadili njia mbadala za kunyoa, kama vile mashine, magic, wembe nk, lakini hakuna iliyoniletea nafuu. Tafadhali nishaurini!
  2. SUBMAC

    Tanzania yazindua Noti Mpya toleo la 2010 zenye Saini ya Waziri Mwigulu Nchemba na Gavana Emmanuel Tutuba

    Hatimaye Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba ametimiza ndoto yake ya tangu kidato cha pili (Form Two) ya kuweka saini yake katika noti za fedha ya Tanzania. Tazama video
  3. SUBMAC

    Crown Media zingatieni umakini wa maudhui, sio kukurupuka kuwa wa kwanza

  4. SUBMAC

    Mungu atamuangamiza Netanyahu na wafuasi wake

    If I were Bibi, ninge-sacrifice hao hostages kadhaa waliosalia huko Gaza ili nii-flat Gaza yote zaidi ya Hiroshima na Nagasaki, ndio lingekuwa suluhisho langu. A total deletion of terrorists, jihadists na vizazi vyao vyote ingekuwa ndio solution.
  5. SUBMAC

    Strategy, coincidence or (protocal) failure?

    Itazame hii picha zaidi ya mara mbili na uje na sentensi yoyote ya tafsiri yako.
  6. SUBMAC

    Utenguzi: Maharage Chande wa Posta, Ulanga wa TTCL na Justina Mashiba wa UCSAF watumbuliwa

    Sijui kama kuna uhusiano na hizi screenshots zinazozunguka mtandaoni🤷🏾‍♂️ but anyway, kama kuna wakati Mheshimiwa Rais amekonga nyoyo na matarajio ya watu kwa furaha, basi ni sasa. She’s literally won a full mass support.
  7. SUBMAC

    Itifaki hii ya bendera imekaaje?

    Habarini! Kama tujuavyo, Rais Samia yumo nchini Korea ya Kusini akiendelea na ziara take ya kikazi. Suala moja nimeshindwa kuling’amua kiasi cha kuhitaji msaada wa ufafanuzi na kueleweshwa kuhusu protokali ya bendera ya nchi pindi Rais wetu awapo ziarani katika nchi nyingine. Nimekuwa nikiona...
  8. SUBMAC

    Huenda wasanii/watu maarufu wetu ndio wakawa ‘ombaomba’ wakuu ama ‘the most state-priviledged’ hapa nchini

    Amani iwe nanyi! Kwa ufupi tu, nimejaribu kuwaza jinsi tabaka hili la watu maarufu, wakiwemo wasanii, linavyoishi kwa kututegemea sisi wananchi na kodi zetu. Msanii akiwa ana-rise to fame, ataomba support ya mashabiki (sisi) na hata serikali (kupitia mamlaka zinazowahusu) ili afike...
Back
Top Bottom