Hiii ni mm kabisa sema ilinitokea kwa uncle wangu. Asbhi hata sielew nimekichana huyo ndo aunty akaja kunipa kalecture pale...ushamba huu
Sent using Jamii Forums mobile app
So nilikua kipind cha likizo form three hio.Sina hili wala lile akaja rafiki yake bimkubwa na mwanaye.Huyo mwanae alikua katoka kungoa jino so walipitia nyumbani kumuacha pale alafu amchuke maza wangu waende kwa msiba .
Sasa nimebaki home na hiyo pisi na house gal. Hio pisi ilikua form five so...
Kweny mpira kuna kitu kinaitwa chemistry.Samatta akiwa genk wakina Ndogola wanajua Samagoal yupo wapi mpira unafika anascore.Lakin akirud national team unamwona kabisa Samagoal anarud hadi kati ya uwanja kutafuta mpira. Alaf tukumbuke Samatta ni box stricker (kama lukaku).Hence mpira ufike kweny...
JINSI NILIVYOKULA KURUTI mwenzangu JESHINI.
Hii ilitokea mwaka huu baada ya kumaliza form six. Nilichaguliwa kwenda JKT(wamujib) kambi flani tu. Sasa Kuna hio siku nimepangiwa mpango kazi kweny shamba la kombania ambayo kazi mara nyingi zinaisha asbh sa 3 ivi.
Sasa kuna hio pisi nilikua napiga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.