Recent content by SUBE2021

  1. S

    Waraka kwa Rais Samia Suluhu Hassan: Kilio cha wafanyakazi kwenye hifadhi ya jamii

    Waraka kwa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kwanza kabisa kwa vile ni mara yangu ya kwanza kuandiaka toka Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan Ushike hatamu za Uongozi wa nchi yetu, nachukua nafasi hii kukupongeza sit u kwa kuwa Rais wa nchi yetu lakini kwa namna ambavyo...
  2. S

    Maumivu ya kumiliki sim cards kama kikokotoo

    Utaratibu wa Serikali haukataliwi hata kidogo maana ndo mwongozo wetu lakini ushauri kwa utaratibu ambao unaweza kuwa kikwazo ni kitu cha kawaida. Rejea ya KIKOKOTOO ulikuwa pia utaratibu wa serikali tena kisheria ambapo sheria ilipitia hatua zote muhimu mpaka kuanza kutumika. Maono ya watu...
  3. S

    Maumivu ya kumiliki sim cards kama kikokotoo

    Kuna preference and benefit kama umenisoma vizuri na sioni ajabu kwakuwa kuna namna nzuri ya kuweza kutrace umiliki
  4. S

    Maumivu ya kumiliki sim cards kama kikokotoo

    Ndiyo Maana kutakuwa na usajili kwa alama za vidole, "Finger Print" na kitambulisho cha taifa ambapo hata zingekuwa line 100 bado mmiliki wake atakuwa anafahamika ipasavyo. Aidha kuhusu simu anapoweka hilo si tatizo ili mradi asikamatwe kabiba simu za watu kuweka lines zake. Na hapa hatuongelei...
  5. S

    Maumivu ya kumiliki sim cards kama kikokotoo

    TUSIPOSEMA LEO YA LINE ZA SIMU YATATUKUTA YA KIKOKOTOO Ni jambo jema kwa serikali kuhakikisha sheria zinatekelezwa ipasavyo lakini tu sheria hizo zikiwa ni nzuri na si kandamizi. Leo tunaomba sana hili la usajili wa line za simu liangaliwe upya maelekezo yake. Magazeti ya Leo Yanabeba dhana ya...
  6. S

    Uhakiki wa vyeti feki utende haki sekta binafsi

    Watu Hawataki Kuhakikiwa, Hata Wabunge na Wanasiasa Wote Pia Wahakikiwe kuona Vyeti walivyowasilisha kama ni Vya Kwao na Zile sifa walizo nazo ni zao au wanastahili kunyang'anywa.
  7. S

    Uhakiki wa vyeti feki utende haki sekta binafsi

    Naamini Chama cha Wenye Vyeti Feki Tanzania (CHAWEVYEFETA) Hawataniteka kwa kusema ukweli.
  8. S

    Uhakiki wa vyeti feki utende haki sekta binafsi

    Nilichofurahia ni watu wengi kupinga hoja. Hii ni picha nzuri kwamba wanaelewa tatizo lipo kubwa na hawataki liguswe. Sasa huku kwa kumulika ili nchi ikae sawa kwenye nyanja zote. Mtu aajiliwe kwa cheti halali hata kama hana cheti akasema hana lakini mwajiri akakubaliana na uwezo wake amwajiri...
  9. S

    Uhakiki wa vyeti feki utende haki sekta binafsi

    Tutaweka kwenye orodha yetu watu wenye Vyeti Feki kwenye Black List yetu. Ebu Chukulia Huyo ni Mkurugenzi wa Hosptali X na ni Mmiliki wa Hiyo Hosptali na anafanya hata upasuaji japo kwa vyeti FEKI vya kuunga unga. Who is at risk. Ni Public yaani Umma ndo upo kwenye risk kwa kuhudumiwa na...
  10. S

    Uhakiki wa vyeti feki utende haki sekta binafsi

    Tunataka kwenda kwenye genuine vyeti, uwe unapeform what we need , ni vielelezo sahihi vya vyeti kama ulidanganya bado ni kosa uwe private au serikalini. Tusifanya kama mtu aliyezaa na malaya anasema lakini hata kama malaya kazaa mtoto. Hilo la kuzaa mtoto halimuondelei Malaya/Kahaba sifa yake...
  11. S

    Uhakiki wa vyeti feki utende haki sekta binafsi

    MKUKI KWA NGURUWEEE................. Jamani Hamjanielewa Vizuri Hapa Issue Siyo Utendaji Kazi wa Mtu Issue ni "FRAUD" kama huko Sekta Binafsi mtu ana vyeti vya udanganyifu ni mhalifu ni mwizi, jambazi kama alivyosema mheshimiwa wetu Rais JPM. Kama mtu ni mchapakazi na alisema cheti chake ni...
  12. S

    Uhakiki wa vyeti feki utende haki sekta binafsi

    Napenda kupongeza na kuunga mkono juhudi za serikali kuhakiki vyeti feki. Ni kazi kubwa na nzuri sana imefanyika sasa naomba basi upanuliwe wigo wa uhakiki. Naipongeza sana serikali ya JPM lakini ili kulimaliza tatizo hili kabisa kabisa panua wigo. Fanya uhakiki hata huko sekta binafsi...
  13. S

    Mei mosi sherehe za tisheti, maandamano na mabango

    Toka mwakajana ni single digit, lakini sijaona cha maana. Single digit ina maana mshahara wako ule uchukue toa kima cha chini ndo kinakuwa na single digiti. Mfano unalipwa milioni moja. kima cha chini ni laki na themanini. chukua 1,000,000-180,000/=. Shilingi 820,000/- zitakuwa na kodi yake...
  14. S

    Mei mosi sherehe za tisheti, maandamano na mabango

    MEI MOSI SHEREHE ZA TISHETI, MAANDAMANO NA MABANGO. Sherehe za Tshirt husherekewa Duniani kote Tarehe Moja ya Mwezi wa Tano. Pamoja na mambo mengine yawezekana hazijatumika vizuri kuenzi wafanyakazi waliopigania haki na kusababisha kuhasisiwa kwa maadhimisho haya. Kwetu Tanzania maziona kama...
  15. S

    Ushauri Wangu Kwa ACT, CHADEMA, CUF na NCCR-Mageuzi

    Sikushangai kwani Hata Kongwamaji K
Back
Top Bottom