Recent content by Subaru_wrx

  1. Subaru_wrx

    Msaada: Dawa ambayo inasaidia kuotesha ndevu zijae

    Tafuta dawa inaitwa hair fertilizer.
  2. Subaru_wrx

    Msaada: Dawa ambayo inasaidia kuotesha ndevu zijae

    Mwambie apake kuna dawa inaitwa hair fertilizer ni iko kwenye tube. Once a day kila anapo lala. Afanye ivyo kama 3 month. .
  3. Subaru_wrx

    Nisomeee bachelor degree Tanzania au Indonesia

    Kaka kwa ninavyo amini GPA its GPA . kama nikipata GPA ya tano nahicho Chuo kinajulikana world wide. Usiniambie watasema ni sawa na GPA 3.0 ya Tanzania. Na pia hata hizo masters scholarship wanahuo muda wa kufanya izo standardization. ...always na amini we need to think in side the box but...
  4. Subaru_wrx

    Nisomeee bachelor degree Tanzania au Indonesia

    Kwangu sijaona hasara am there to learn. Always u should have something unique tofauti na wengine Leo au kesho will be an added advantage to u.
  5. Subaru_wrx

    Nisomeee bachelor degree Tanzania au Indonesia

    Kwa as time goes naamini we are still developing. Kama wao wameweza kunayo kwetu ata sisi twaweza. Kuweka na kwao. Na hii yote kwa sababu Tanzania hakuna hela tungekuwa nazo tungeweza kuweka embassy na kwao pia.
  6. Subaru_wrx

    Nisomeee bachelor degree Tanzania au Indonesia

    Ningependa nikuambie ata hao TCU. This year wame wametoa tangazo mka apply scholarship to Indonesia . so nakushauri just visit TCU ukajionee tu mwenyewe. Asante .
  7. Subaru_wrx

    Nisomeee bachelor degree Tanzania au Indonesia

    Kwa ushauri wako si zani kwa sababu ni scholarship ungekuwa naenda soka kwa kumtumia hela yangu sawa lakini ni makubaliano kati ya Tanzania na Indonesia. Kusomesha watanzania nchini kwao .. Na kengine ntaenda masters so sio Tanzania tena kwa hiyo ukisema nante sijajua watakuwepo wapi...
  8. Subaru_wrx

    Nisomeee bachelor degree Tanzania au Indonesia

    Asante kwa ushauri wako mzuri
  9. Subaru_wrx

    Nisomeee bachelor degree Tanzania au Indonesia

    Yes nimepata scholarship Sua nili apply sikupata ndo nimechaguliwa hiyo bachelor In commerce in finance... Udsm Moyoni I nataka hiyo scholarship Indonesia kwasababu nilikuwa huko. For 6 month na I enjoyed using it .. Sasa usauri wa wazazi ilinicost mmno ningekuwa tayari namaliza nawezangu...
  10. Subaru_wrx

    Nisomeee bachelor degree Tanzania au Indonesia

    Am 24 yrs saivi. Gender - Male Nasoma bachelor in commerce in finance Niko first year Course nayo enda soma Indonesia ni bachelor in Agribusiness. Nilivyo enda Indonesia last 6 month nikaona a lot of opportunities on field ya agriculture. And wish to work on big NG0's because I had an...
  11. Subaru_wrx

    Nisomeee bachelor degree Tanzania au Indonesia

    Nimemaliza form 6 2015 kwa faulu mzuri tu kwenda chuo. Sema wazazi wangu wakanishauri nisiende kusoma hiyo kozi ya banking and finance sio nzuri katika kuomba transfer wakanichagulia kozi nyingine but ilikuwa ya science mimi nimemaliza commercial arts. So nikaanza diploma Latina kumalizia...
Back
Top Bottom