Recent content by Stylz

  1. Stylz

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Nadhani ndio maana nimesikia wameomba kibali cha kuongeza vijana...itakuwa wanataka safari hii wote waanze pa1
  2. Stylz

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    PDF la Oct/2021 PT alichukua vijana 3275...kunywa maji mengi andaa nguvu
  3. Stylz

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Kuna idadi waliopaswa kuajiri mfano 1000... Wameomba kuongeza idadi mfano 1500... Nadhani umeelewa sasa
  4. Stylz

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Lonja niliopata ni kwamba... Nafas zilikuwa nyingi na wengi wameshapita ila wameomba makao makuu kuongeza vijana wengine... Ni lonja wakuu sio kitu cha uhakika sana.
  5. Stylz

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Nilichomaanisha maswali yanakuja in general knowledge ya maswala ya kipolisi ambayo wanaweza kuuliza ht kwa kiswahili au yanabase kwnye professional yako ambayo obviously ni English... But shukrani nimeelewa
  6. Stylz

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Kumbe written mmeshapiga... Format inakuaje... English/Swahili... Maswali yanabase kwenye taaluma yako au ni general
  7. Stylz

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Nakazia hapa... Wakuu wapo kimya sana
  8. Stylz

    JamiiForums Tanzania Facebook kuanzisha cryptocurrency mpya “LIBRA” itakayotumika na users wake kufanya transaction mbalimbali

    Yah lakini haitakuwa mpinzani wa bitcoin. Ipo kwenye mfumo tofauti kidgo...nasubir wajuzi wajekufanunua
  9. Stylz

    JamiiForums Tanzania Facebook kuanzisha cryptocurrency mpya “LIBRA” itakayotumika na users wake kufanya transaction mbalimbali

    Habari zenu wana JF Nadhani technology inakuwa kwa kasi sana sana kiasi kwamba unatakiwa uwe active sana kuendananyo. Baadhi yetu ni wagumu sana kuelewa hili na tunajificha kwenye mwamvuli wa neno “utapeli” bila hata research za kutosha ili tu, tusikubaliane na kasi ya teknologia Mapema mwakani...
  10. Stylz

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kununua hisa za makampuni nje ya nchi?

    Shukrani, nadhani ndio nilichokuwa nakitafuta
  11. Stylz

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kununua hisa za makampuni nje ya nchi?

    Asanteni kwa majibu, ila bado sijaelewa vizuri mnachomaanisha. Ni kwamba siwezi kununua hisa za nje mpaka niwe nimewai kununua hisa za nyumbani? Au haiwezekani kununua hisa za nje ni bora ni invest nyumbani? Au ni vp?
  12. Stylz

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kununua hisa za makampuni nje ya nchi?

    As tunaangaika kutafuta njia mbalimbali za kuinvest na kusaka kipato, nimekuwa interested na swala zima la stocks trading. Nimejaribu kufatilia sana lakini bado sijapata jibu la kuniridhisha, namna gani naweza kununua hisa za makampuni kama Apple, Nokia,etc especially yaliopo kwenye...
  13. Stylz

    JamiiForums Tanzania Waarabu,Wahindi,Wapemba,Wachaga wana siri gani katika biashara?

    Siri yao kubwa sio watu wa kutegemea grade za darasani... Wapo real na maisha yanavyowataka waishi... #sijasema hawapendi shule# kiufupi ni watu wasioathirika kirahisi na mifumo tuliowekewa na wazungu
  14. Stylz

    JamiiForums Tanzania Natafta internship kwnye firm ya accounting and tax consulatancy.

    Ukipata tujuzane Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Stylz

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    nimejaribu kusoma na kupitia sehemu mbali mbali ili nipate uhakika na elimu zaidi juu ya hii ishu...nimekutana na hii account ya instagram ambayo nahisi ni ya huyo jamaa @Sandile G Shezi ambaye ametajwa mwanzoni mwa uzi huu. Kama nilioyaona ni kweli basi Tz kweli tupo nyuma sana!! wenzetu...
Back
Top Bottom