Kwenye top ten yao kila siku namba moja asipokuwa ali kiba basi atakua baraka da prince yaan tangu hko kipindi kinaanzshwa hao wawl ndo wanaongoza,siku hz kaongezeka nedy music.hata tuzo bila shaka watapewa hawa kuliko wengne
Yaan mtu aliyeimba kamwambie,mbagala,nitarejea,moyo wangu,ukimwona,kesho na nyngne nyng unasema hajui kuimba hahaha huwez kuwa sirious wewe,embu hao unaosema wanajua kuimba weka mashair ya nyimbo mojawapo then tufananshe na mashairi ya huyu jamaa
2012 alitangaza kuwa kwa kila shoo analipwa milioni 10(kumbuka ni miaka mitatu tu tangu aanze mziki)wakati hadi leo mwaka 2016 kuna wasanii wakongwe kabsa wanalipwa milion moja kwa shoo.Diamond ndio msanii anayeongoza kwa kupigwa mawe katika maendeleo yake kwani alishaambiwa anawaroga wasanii...
Hakuna kama mond kwa Afrika mashariki,nyimbo yake ya mbagala ilichaguliwa kugombea tuzo mtv,2012 yaan akiwa na miaka mitatu tangu aanze mziki alifanya shoo kubwa kabisa pale mlimani city kiingilio cha shoo hiyo hakuna msanii yoyote wa Tanzania aliyewah kutoza .Diamond ndo msanii anayeongoza kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.