Recent content by Strongmind

  1. Strongmind

    Kwa nini hatuhitaji kukata tamaa?

    Ur absolutely right Bro!!!
  2. Strongmind

    Ni wakati sasa wa Kujua ni Gharama Kiasi Gani zimetumika Kupambana Na "Tamko"

    Polisi na jeshi wapo kwa kazi hiyo,huendelea kulipwa hata kama hukuna tatizo lolote lile. saasa wwe unayeuliza gharama labda utuambie kama kulikuwa na polisi wapya walio ajiri kwa sasababu ya ukuta? but kama hakuna basi hakuna gharama yeyote iliyotumika,maana walikuwa katika kutimiza wajibu...
  3. Strongmind

    For JamiiForums Mobile users

    [COLAR=#FF0000]MKUUBADONAJARIBU[/COLOR]
  4. Strongmind

    For JamiiForums Mobile users

    MKUU NGOMA BADO
  5. Strongmind

    For JamiiForums Mobile users

    Mkuu mbona kazi ngumu
  6. Strongmind

    For JamiiForums Mobile users

    kilanikijalibu hakuna
  7. Strongmind

    For JamiiForums Mobile users

    #FF0000Mkuu sijauelewa#FF0000
  8. Strongmind

    Kwanini CHADEMA wamechukia uamuzi wa Rais kuagiza wananchi waruhusiwe kuchekecha mchanga wa Migodi?

    Najua tatizo lako ni dogo sana,nilakurekebisha kidogo jaribu kufikiri inje ya ushabiki wako wa kisiasa utanielewa tuu .Suala hapa si kusitahili au kutositahili serikali iko katika kutafuta suruhisho la kudumu katika hili!!!
  9. Strongmind

    Kwanini CHADEMA wamechukia uamuzi wa Rais kuagiza wananchi waruhusiwe kuchekecha mchanga wa Migodi?

    CDM Wamejaliwa kitu kimoja tu cha kipumbavu uwezo wakubadili uongo kuwa ukweli lakini Mungu kawanyima kitu kimoja tuu kutunza kumbukumbu kwao nimtihani mgumu sana wanaweza sema kitu leo wakirudi kesha wamesha sahau nakukisapoti wakikumbushwa watakuja na mbinu yao lahisi ya kuutakatisha uongo kwa...
  10. Strongmind

    Naibu Spika Tulia hajamtembelea Spika wa Bunge tangu atoke Hospitali?

    Kama hoja nikwenda kumuona hayo mengine yalitoka wap!!!!? nakama yalikuwepo kwa nn hayakusemwa hapo mwanzo!!!?naikija kushibitika kuwa alienda hayo yatofauti mnazo zisema mtayahubili kwa lugha ipi!!!!?think before to talk bro kama kitu huna uhakika nacho bora kuuliza kisha kaa kimya wenyekujua...
  11. Strongmind

    Naibu Spika Tulia hajamtembelea Spika wa Bunge tangu atoke Hospitali?

    Badilisheni Mind zenu kazi nikutafuta kiki kwe media nendeni mkakae mje na mawazo mapya yenye tija kwa watanzania siyo hizo ngojera zenu zisizo kuwa na tija kwa Taifa.Kazi kucreate hoja mfuu zisizo kuwa na maana kulopoka bila hoja hakuna maana
  12. Strongmind

    Naibu Spika Tulia hajamtembelea Spika wa Bunge tangu atoke Hospitali?

    Watu wapi hao!!!?Kiongozi aliye shupavu hawezi kuongonzwa kwa matakwa ya watu wachache wenye masilahi yao binafsi,Chunga sana kutumia Maneno ya Mungu kuuhalisha upuuzi wako maana Mungu atakuazibu wewe nisawa na Mpinga kiristo
  13. Strongmind

    Naibu Spika Tulia hajamtembelea Spika wa Bunge tangu atoke Hospitali?

    Leo hii UKAWA wanamwana Ndugai nikimbilio lao wamesha sahau mwaka juzi walimsema kuwa analiongoza Bunge kibabe na kuwaitia polisi ili kuwatoa inje kwa hawa ni nyumba wa serengeti
  14. Strongmind

    Natafuta mke wa kuoa

    Kwa jina naitwa Jonathani nipo Geita, kazi yangu mkulima. Natafuta mke wa kuoa awe mcha Mungu mwenye elimu kuanzia form 4 na kuendelea mrefu kuanzia futi 6.5 nakuendelea maji ya kunde au mweupe umri kuanzia miaka 19-26 awe serious na ndoa uwe tayari kuishi popote hapa Tz. Kwa aliyetayari...
  15. Strongmind

    Msaada jinsi ya kuweka rangi kwenye post

    Naomba kusaidiwa njinsi ya kuweka langi kwe post
Back
Top Bottom