Mishahara ya Tanzania ni kama vichekesho vya usiku wa manane.
1. Kijana anachoma jua petrol station—Tsh 150,000.
2. Dereva wa school bus, analala na presha ya watoto—Tsh 150,000.
3. Mlinzi, anakesha macho, sometimes bila hata fimbo—Tsh 150,000.
4. House girl mdada, anafanya kazi hadi anasahau...