Recent content by Stress-Free

  1. S

    Natafuta mtu wa kunifundisha lugha ya kiingereza na kifaransa

    jamani asanteni sana kwa ushirikiano wenu nmeshampata mtu niliyekuwa namhitaji asante sana na Mungu awabariki.
  2. S

    Natafuta mtu wa kunifundisha lugha ya kiingereza na kifaransa

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,kwa maelezo zaidi ni pm
  3. S

    Mmmhhh. . . . . . . .huku ni kupenda ama ulimbukeni?

    we achana na mahaba yashanikuta hyo mimi nilikuwa nampa hadi hela bt mwenyewe akaniona cna maana nikaamua kujiweka kando sa hv ananililia turudiane mi ndo ctaki hta kumsikia atajuta hyo mwanaume cku moja
  4. S

    Wasichana msikubali kunyanyaswa na wanaume kisa mapenzi never!

    na kwel mi mwenyewe kuna mwanaume alinipelekesha hyo hadi niliona rangi zote bt nilipochoka nilijivua gamba sa hv kutwa kunisumbua bebi bebi mxiuuuuuu
  5. S

    Naogopa kupima VVU!!!

    aisee kupima kunataka moyo mi mwenyewe nilikuwa naogopa ila baadae nilipata sababu ya kwenda kupima,daah unaweza ukafa kwa woga bt jikaze we mwanaume bwana
  6. S

    mimi yuleyule ninaesumbuliwa na kabila kwenye mahusiano

    co kwel dada angu mi ni mtu wa kusini hayo mambo hamna uchawi upo kila kona c kusini wala kaskazini we fuata moyo wako
  7. S

    Dada zangu naombeni mnishauri cha kufanya

    umeona eeh anamuwazia wa nje badala ya mkewe afu ndo kwanza mwaka wa kwanza kama wanaume wa saiv ndo kama wewe bora kuwa single kuliko kufa kwa stress
  8. S

    Mwaka 1 Baada Ya Ndoa Aomba Anunuliwe Gari Na X Mume Wa Mtu! LOVE IS NOT BLIND BUT AN ILLUSION!

    no lara mi wala siko huko unavyodhani wewe but i was just curious to find out what reasons force bidada kuona gari ni bora kuliko ndoa
  9. S

    Mwaka 1 Baada Ya Ndoa Aomba Anunuliwe Gari Na X Mume Wa Mtu! LOVE IS NOT BLIND BUT AN ILLUSION!

    mmmmmhh kweli dunia ina mambo wenzake wanataka ndoa ye anataka gari??gari kitu gani??inavyoonakana ofisin kwa huyo bidada kuna ushindani wa magari sasa na yeye anataka asipitwe na mungu atamlaani hlo gari ndo litakalomuua,maskini mume wa hyo dada sa zingine wanaume wanakosewa sana na akipata...
  10. S

    JKT awamu ya tatu Septemba 28, 2013

    umeongea point sana hapa ni mgomo mwanzo mwisho
  11. S

    JKT awamu ya tatu Septemba 28, 2013

    yani hii nchi hii siasa hadi kwenye elimu halafu wanataka big result now labda baada ya miaka mia
Back
Top Bottom