LIssu hawezi kuhamia CCM kamwe, na pia hawezi kuhamia ACT, na hawezi kuanzisha chama kipya kwa sababu serikali haitoruhusu hilo, kwasasa siasa, harakati na misimamo ya Lissu inaweza kuwa accommodated Chadema pekee, atapambana humo humo, akishindwa atakuwa mwanaharakati huru, haitokaa itokee...