Recent content by Street Hawker

  1. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Hiyo sehemu ni kwa ajili ya running track.
  2. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Wakenya wababaishaji sn aiseee 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
  3. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Hii ndiyo modernity tunayozungumzia, watu wanabuni kila siku, wao bado wana copy alafu copy yenyewe iliyopitwa na wakati.
  4. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Sahivi mu7 tayari keshaanzishisha chokochoko, soon utasikia dangote ame change his mind, hii ndiyo Tanzania bro.
  5. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Wewe c ndo ulisema no pipeline to Tanga au nikupe risiti yako mzee.
  6. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Kitu ambacho huwa nawahurumia wakenya ni kwamba wanapopambana na Tz automatically huwa wanapambana na nature, na ndiyo mana hakuna pambano wameshinda dhidi ya Tz na itabaki kuwa hivyo mpk Mungu abadilishe jiografia Kenya iwe Tanzania.
  7. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Ruto kaamua kuuza nchi ili alipe kisasi cha crude oil pipeline, asichojua ni kwamba hawezi kupambana na nature, Tz ndiyo heden ilipokuwepo, so you cannot beat it.
  8. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Acha ujinga na wewe, refinery sio crude oil pipeline useme moja inatosha kwa mazingira yaliyopo, refinery zinaweza kuwa hata 10 kulingana na uhalisia uliopo. Refinery ya Tanga ni unavoidable, dangote ni kama muda wake unakwenda kuisha na ndiyo mana ilikuwa rahisi kumuongopea ajenge lamu wkt pesa...
  9. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Nyie ni mabingwa wa online projects sishangai.
  10. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Wakenya wengi akili zao wanafananisha talanta na Arusha stadium, hawajui kuna uwanja mkali kuliko vyote, sasa subiri Afcon ije, utasikia vilio 😂😂😂😂😂😂😂😂
  11. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Wakenya kwa jua kali projects mko njema wallahi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
  12. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Huu ndiyo uwanja wangu namba moja kwa uzuri East and Central Africa.
  13. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Aisee hii kweli ni Afcon city, kuna kitu waafrika watajifunza kutoka Tanzania after Afcon.
  14. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Wakenya wana masihara mengi sn, nafikiri waliona hii tournament ikiandaliwa na Tz kwao itakuwa simanzi, kwahiyo wakaona wajiingize ilihali wakijua hawako ready ili tufeli wote, japo lawama pia nazipeleka kwa wahusika pale tff, walijuwa kabisa Kenya haina uwezo wa ku host na hata kama ingekuwa na...
  15. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Hiyo ni kawaida, haifuti ukweli kwamba inakimbia sn na huwezi kufananisha na diesel train.
Back
Top Bottom