Recent content by Strangerr

  1. S

    JamiiForums Tanzania Yukowapi Pedegee Fred Rwegasira

    Silent inn ya miaka hiyo,ni ukumbi(sehemu ya uwazi)inakodishwa kwa ajili ya makanisa,yupo,anatengeneza na muumba wake!!
  2. S

    JamiiForums Tanzania Vibanda vilivyowekwa kando ya barabara Jijini Dar es Salaam kuondolewa

    Ukikanya bahati mbaya wanakukoromea,na kukutishia watakuitia mwizi ili wakushambulie,ni kweli inapaswa waondoke sasa,maana ni sehemu ya wapita kwa miguu!!
  3. S

    JamiiForums Tanzania Hivi Shirika la Posta linaendeshwa na akili timamu kweli? Nashangaa

    Umesikika Kimsboy!!
  4. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Kama umesoma 'private school' atakayekupa mkopo ni kichaa

    Husahihi wake uko wapi??hiyo hela wanayobaguliwa nayo wanafunzi inatoka wapi kwani???
  5. S

    JamiiForums Tanzania Rasmi sasa Vladmir Putin atumia Gari yake Mpya iliyotengenezewa Urusi

    Rolls Royce nafikiri ni english car kama sikosei!!!
  6. S

    JamiiForums Tanzania DAR: Mabasi 29 ya Mwendokasi yaharibika huku baadhi ya Wafanyakazi wakipewa likizo kutokana na ofisi kujaa maji

    Yote hiyo ni hujuma,kwani hawakujua kama kuna mvua ya mfululizo?na masharti ya hapo jangwani si wanayajya mafuriko lazima,sasa walishindwa nini kujiongeza kuyahamisha hayo mabasi??au ndiyo wanatutangazia wananchi ukijapa uhalali wakula hela,maana hapo watasema mayengenezo mpaka spear zitoke nje...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Bunge Tulipuuza Kuchunguza Kupotea kwa Saanane, Tusipuuze Kuchunguza Kupotea kwa Azory na Kanguye

    Wewe akili hiyo unadhani anaweza kuwa na mke??si atamgawa bure tu kwa wanaume!!!
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kuchi vifaranga na mayai wanauzwa

    Mayai Tsh 10,000/= kwa tray au? Na hao wa wiki mbili Tsh 15,000/= kwa kifaranga kimoja au?
  9. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Kununua Mpunga

    Ndeo kipande cha wapi hicho bro!!!
  10. S

    JamiiForums Tanzania Picha: Gharama za public toilet zipo juu, Serikali itusaidie

    Miaka ya nyuma kidogo ilikuwa poa,kabla halmashauri azijabadilisha taratibu zakukusanya wenyewe,na kutumia hizo efd machines,hata hivyo inaelekea kuwashinda hiyo kazi,watazirudisha tu kwa raia wema wawafanyie kazi!!!
  11. S

    JamiiForums Tanzania Bringing FOREX from the world to Tanzania - The road to financial freedom

    Hiyo $10 unaiweka kwenye new account au kwenye hiyhiyo acount ya $30 ili uweze kuamisha au kutoa!!!
  12. S

    JamiiForums Tanzania Magufuli, wewe ni Rais wa Tanzania sio Kanda ya Ziwa tu

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti bokasa!!!
  13. S

    JamiiForums Tanzania Bringing FOREX from the world to Tanzania - The road to financial freedom

    How can i deposite temperfx acc through mpesa?simu yangu haina uwezo wakurudi nyuma na kupitia post za huko nyuma,msaada tafadhali!!
  14. S

    JamiiForums Tanzania Je, ni halali kupokea misaada ya nyama ya kafara toka uarabuni?

    Ni nyama zilizo songolewa,nimarufuku kuliwa!!
  15. S

    JamiiForums Tanzania Viwanja Moshi Kilimanjaro,

    Kinaitwaje??shirima matunda au???
Back
Top Bottom