Ep 01
Naitwa Sabrina ni mzaliwa wa bukoba kabila langu n mchanganyiko wa kihaya na kirwanda yn baba yngu akiwa mhaya na mama yngu mrwanda kabisa, nilisoma elimu ya primary na kufaulu kuingia kidato cha kwanza huko huko bukoba had nilipomaliza kidato cha nne, baba yngu alifarik hivo nikabak na...