Recent content by Stores

  1. Stores

    PreGE2025 Askofu Gwajima: Sitayumba, sitabadilika na wala sitabadili msimamo!

    Tumepewa maana yake sasa tumeelewa na imepokelewa na watanzania wote
  2. Stores

    PreGE2025 Askofu Gwajima: Sitayumba, sitabadilika na wala sitabadili msimamo!

    Ehee haya sasa mjibu halafu muone aje na press ya pili amesema moshi utatoka mpaka mtashindwa kuzimaa
  3. Stores

    PreGE2025 Askofu Gwajima awaongoza waumini wake kuimba 'Tanzania Tanzania Nakupenda’

    Hatimae Taifa limepata mkombozi Taifa langu Tanzania nakupenda kwa moyo wote ,Asante Mungu kwa ajili ya Askofu gwajima
  4. Stores

    Mazaa hawezi kusimama mbele ya Gwajima na akashinda . Never, niko pale mniite Zuchu akishinda

    Hana uwezo wa kumshinda Gwajima huyo mama mchawi hajui hata kuongea ,ila hii inchi sijui tulikoseagi hapa mbona ccm mlituwekea kicha kwenye nchi
  5. Stores

    Mbunge Gwajima alitudanganya tufungue Akaunti NMB ataweka fedha za ukarabati wa barabara

    Heee huyuu jamaa account ni kwa ajili ya manufaa yako ,unataka na hela uwekewe
  6. Stores

    Mbunge Gwajima alitudanganya tufungue Akaunti NMB ataweka fedha za ukarabati wa barabara

    Tafuta hela wewe umeanza mapema hivo kulialia unataka hela za wenzako , tafuta zako
  7. Stores

    Furaha Dominic akamatwa akisambaza picha za Utupu

    Kile kichwa nilijua tu Kuna Mambo kinafanya ambayo ni ya ujingaa ,utoto ni mwingi sana eti ndo alitaka apewe ubunge angevulunda tu yule
  8. Stores

    Askofu Gwajima ashusha maombi mazito akiliombea Taifa

    Mungu baba tulindie viongozi kama hawa kwenye taifa hili ili tufike mbali Viongozi wenye hofu ya Mungu
  9. Stores

    Uchaguzi mkuu kiti cha Rais 2025 (video): Unabii waweka wazi kuwa ni Samia S. Hassan (CCM) vs Bishop Josephat Gwajima (CHADEMA)...

    Propaganda za siasa bana ukijichanganya unajikuta kwwnye mtego watu wqnakujaza tu upepo
  10. Stores

    Uchaguzi mkuu kiti cha Rais 2025 (video): Unabii waweka wazi kuwa ni Samia S. Hassan (CCM) vs Bishop Josephat Gwajima (CHADEMA)...

    Huo unabii nani kautoa aje atueleze hapa ameutoa wapi ,kama sio ujinga ni nini
  11. Stores

    Askofu Gwajima akabidhi ambulance mpya Kawe

    Moja wa wabunge wanaofanya kazi kwa bidii ni gwajima, pongez kwake sanaa mungu amtunzee
  12. Stores

    Kwa idadi ya watu wazito na matajiri wanaolitaka jimbo la Kawe kupitia CCM mwaka 2025, Bishop Gwajima anza kutuaga sasa wana Kawe

    Tunajua aliyekutuma uandike huu ujumbe Sema kakupa pesa kidogo sana ungemwambia akuongezee sio haki kabisa
  13. Stores

    James Mbowe amvaa Askofu Gwajima kuchanganya mikutano ya injili na siasa za Rais Samia

    Eti kada maarufu Kuanzia WAPI Na kuishia WAPI haaaaaaaaa
  14. Stores

    James Mbowe amvaa Askofu Gwajima kuchanganya mikutano ya injili na siasa za Rais Samia

    Halafu unapataje ujasiri kwanza WA kumuongelea MTU aliyekuzidi Kila kitu kasolo ujinga wako Una ujinga mwingi kwenye kichwa chako kautoe kwanza ndo Uje kuandika tena
Back
Top Bottom