Recent content by stoplight

  1. stoplight

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Samsung S10+ naiuza bei sawa na bure haina kipengele chochote wahiii uipate kabla haijauzwa Storage ram 8 rom 128 Camera clear Charge ok Fingerprints ok No topup Price 380,000 Location tegeta kibo Piga sim 0653 271 318
  2. stoplight

    Njoo uifahamu Taxi Mtandao BOLT/UBER

    Ofisi za bolt zipo wapiii kwa hapa dar
  3. stoplight

    Simulizi ya kipelelezi: Document number 72 (Nyaraka namba 72)

    Mbona fupiii kiongoziii ongeza zagazaga na mayonnaise kwanmbaliiiiii
  4. stoplight

    Fundi umeme wa magari natafuta kazi

    Nipigie kwenye namba 0653 271 318 ndio ipo hewan ile ya halotel imezingua mpka Leo
  5. stoplight

    Fundi umeme wa magari natafuta kazi

    [emoji1][emoji1][emoji1]
  6. stoplight

    Fundi umeme wa magari natafuta kazi

    Ok poa usipo nipata kwenye nmba hio nicheki 0653 271 318 maana namba hio ya halotel toka jana inazingua
  7. stoplight

    Fundi umeme wa magari natafuta kazi

    Habari zenu humu, Mimi ni kijana wa kiume umri wangu 24 ni fundi umeme wa magari nimejiajiri ila game ni ngumu sana huku mtaani hvyo natafuta kampuni au taasisi yoyote yenye uhitaji na fundi umeme wa magari pia nipo tayari kufanya kazi popote na pia kwa mwenye kazi hata nje ya taaluma yangu pia...
  8. stoplight

    Napata Mshahara wa laki 3, nataka niache kazi nikajiajiri

    Habari zenu humu me ni kijana wa kiume umri wangu 24 ni fundi umeme wa magari nimejiajiri ila game ni ngumu sana huku mtaani hvyo natafuta kampuni au taasisi yoyote yenye uhitaji na fundi umeme wa magari pia nipo tayar kufanya kazi popote na pia kwa mwenye kazi hata nje ya taaluma yangu pia nina...
  9. stoplight

    Muvi za upelelezi.

    Strike Back
  10. stoplight

    Natafuta kazi yoyote, Nipo Tegeta

    Sasa kama upo tegeta siungeenda pale magereji kazi zipo kibao za ufundi pia mama ntilie na nyingine kibao mdugu mwandish kama kweli ww ni muhitaji wa kazi nendo pale magereji opposite nankibo complex Over
  11. stoplight

    INAUZWA Hakuna kupigwa tena. Flash orijino na za uhakika kutoka Japan hizi hapa kwa bei ya tupate wote

    Flash za OTG zile zinakuwa mbele flash na nyuma unachomeka kwenye sim unazo mkuu
  12. stoplight

    Mwenye swali lolote kuhusu Tiba za uchawi

    Habari yako mkuu Je naweza kupata mali zangu niliibiwa nyumban Kwang mnamo tar 21/3/2022 niliibiwa vitu Virginia sana I'll kwa sasa hivi nahitaj nipate viwili kati ya vitu vyangu vilivyoibiwa je naweza kupat mkuu kama inawezekana 0653271318 nisaidie mkuu niweze kupata kama inawezekana. Nicheki...
  13. stoplight

    Gari kuzima relini

    Unaongelea trend na reli za wapiii hapa Tz au nchi za huku nilipo me mzee baba #CHINA kama za hapo kwenu Tz ni njaa za dereva tuuu Hakuna ufundi stad wala Uzumaki mzee
  14. stoplight

    Anatafutwa dereva wa pikipiki kwa ajili ya kazi ya mauzo

    Yani huyo dereva ndo anatafuta wateja au yeye kwa ajiri ya delivery tu samahan kwa usumbufu
  15. stoplight

    Uuzaji wa vidole vya miguu Zimbabwe

    Yani hapa ndo naanza kumuelewa msanii wa kizazi kipya roma mkatoriki kwenye kibao chake #narudiZimbabwe kumbe siri akutuambia kwanini anataka kurudi Zimbabwe [emoji1269]
Back
Top Bottom