Recent content by stonecutter

  1. S

    JamiiForums Tanzania Ukiangalia hii ramani lazima utawasupport Israel wako sahihi

    Kitabu chako kinasemaje juu Israeli na mayahudi? Je, walianza 1948?
  2. S

    JamiiForums Tanzania Dr Samia na Rais Mwinyi ni wazanzibari wakikutana kujadili maslahi ya muungano Tanganyika anatetewa na nani!?

    Unataka kusema kwamba Samia ataitetea Zanzibar na Mwinyi ambaye ni rais wa nchi ya Zanzibar ataitetea Tanganyika kwasababu alishawahi kuwa mbunge na waziri siyo?
  3. S

    JamiiForums Tanzania Umejipanga vipi na mvua za El Nino?

    Hivi kumbe kuna watu mnaingoja Elnino. Acheni zenu hizo.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Nataka Kuacha Ukristo na Kujiunga na Buddhism – Nianzie wapi Dar?

    Mwache aende. Hajaanzia kwenye Ukristo na wala haujui. Anasema dini yake ya asili (hatujui ni ipi hiyo) haijamfaa.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Davido aangua kilio wakati wa kumzika rafiki yake aliefariki kwa kuongeza uume

    Maisha bila Yesu ni bure kabisa.
  6. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwezi Mmoja Bila Kugundulika: Kifo cha Mercy Lavington Chaibua Swali

    Maisha bila Yesu ni bure kabisa.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Ni jina gani la mwana JF ungepenyeza kwa nafasi ilio wazi ya makamu?

    Naunga mkono.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Je,BOSI NDIYE ALIYETAKA MABADILIKO?. Ona sehemu ya kilichoandikwa.

    Huenda kumbadilisha makamu ndiyo mabadiliko yenyewe.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Je,BOSI NDIYE ALIYETAKA MABADILIKO?. Ona sehemu ya kilichoandikwa.

    Wakuu, salaam. Nimeisoma barua inayosemekana kuwa ya mwenyewe. Nukuu: "Pia nilimhakikishia kuwa siku yoyote akiona anahitaji makamu mwingine wa Rais, nitaachia nafasi hii. NIMEJIRIDHISHA PASIPO SHAKA KUWA MH. RAIS ANATAMANI MABADILIKO, hivyo nimeamua kutimiza ahadi yangu". Mungu awabariki.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Najaribu kuwaza, hivi haiwezi kuwa kinyume na tunavyo dhania huu mkutano wa dharura?

    Ajabu sana hii. Wenye nyumba kutoka na kumsusia mpangaji nyumba yao. Je, mpangaji ataendelea kukomaa na nyumba ya watu?
  11. S

    JamiiForums Tanzania Watanzania tumuombee Nchimbi: sasa naelewa mtifuano ndani ya CCM ni ukombozi kwa Taifa

    HAPANA. Hatakiwi kutoka. Kila jambo na wakati wake.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Hii ndio hali halisi ya Mkutano wa CHADEMA Sirali, Hakuna namna yoyote ya kudhibiti hiki Chama hata mkiteka na kuua

    Kwamba wewe hujui kwamba watu smart wote tupo CHADEMA? Na huo ndio ukweli.
Back
Top Bottom